Oooohoooo, watanzania kwishney
Thamani ya shilingi yazidi kuporomoka dhidi ya US $.
Bei za vitu zitazidi kupanda bei
Kipato cha mtanzania kipo pale pale au kipato kinaweza kupungua...
Nina nia ya kununua gari la kutembelea ka salon. Naomba ushauri kwani ni mara yangu ya kwanza kutaka kutimiza nia hii:
1) Kwa kuzingatia bei je niende kwenye showrooms kununua au niagize mwenyewe...
5 Easy Steps to Becoming a Millionaire
Erin Joyce
Wednesday, May 18, 2011
Share
retweet
Email
Print
More from
7 Real-Life Ways to Become a Billionaire
at Investopedia.com
Why You Dont...
Habari wanajamvi, ningependa kufikisha kwenu ili nijue hasa uchumi wa nchi unapimwa kwa kutumia vigezo gani hasa, kwa sababu huwa tunaambiwa tanzani a ni nchi masikini angali ina mali asili za kutosha
A motion that envisages Kenyans aged over 60 receive a Sh2,000 monthly stipend received huge support from MPs Wednesday.
The motion was also amended such that if passed and assented to by the...
Nilikuwa naangalia kipindi cha this week in perspective tbc Dr Bana anasema bila ccm kubaki madarakani nchi haiwezi kufikia malengo yake. haya ndio mawazo ya wana ccm wengi. ccm sio Mungu na imani...
Habari wana jamii forum, nina nyumba yangu mitaa ya tegeta nyaishozi haiko barabarani,unaingia ndani kama mwendo wa dakika 10 kwa mguu toka barabara kuu,ninayohitaji kuipangisha ,ila tatizo niko...
Habari wana jamii forum, nina nyumba yangu mitaa ya tegeta nyaishozi haiko barabarani,unaingia ndani kama mwendo wa dakika 10 kwa mguu toka barabara kuu,ninayohitaji kuipangisha ,ila tatizo niko...
Watanzania ni watumwa katika nchi yao.
Viongozi wa ccm ndo wakoloni weusi.
Maeneo ya kuchimba madini wamepewa Wazungu - Tanzanite One, Barrick Tarime, Anglo Gold Geita, Mwadui and you name...
Siku za nyuma mlikuwa na nguvu haswa, lakini leo sijui mmeikosea nini serekali. Sekta ya usafiri wa reli imepewa kisogo.
Hivi hizi ndoto za kuanzisha usafiri wa reli kwa wakazi DSM zitatimiaje...
When you think of jobs that pay six figures, you think doctor, lawyer -- and anything with the word "chief," "director," "engineer" or "petroleum" in it.
But there are some jobs that pay six...
Hi
Just wondering as I am in the UK and thought this might be a good business to do. Can anybody help me with some ideas of where you have bought your laptop, if you are looking to buy one, how...
wana JF kuna kitu nimejaribu kujiuliza sipati jibu kwa nini wizi mkubwa wowote serikalini KWA MFANO EPA fedha zilitawanywa na CRDB BANK naomba kujua,kwa nini mafisadi wanaitumia sana bank hii...
Kiwanja hiki kipo maeneo ya ubungo msewe karibu na chuo kikuu cha dar es salaam.
Kina nyumba mbili ambazo bado hazijapauliwa, na eneo lina miti mizuri ya kivuli.
Bei ni mil. 35 za kitanzania...
Waungwana wa hapa jamvini napenda kuchukua wasaa huu kuwatambulisha jina la kampuni yangu na shughuri tunazofanya . mdoc kanitengenezea a simple website ambayo tunaweza wasiliana . shughuri...
Kenya has incubated three multinational corporations that rank among the most successful in black Africa, says a new report by a global alliance of business leaders.
Kenol Kobil is listed in...
April 15 (Bloomberg) -- Tanzanias inflation rate climbed to an 11-month high of 8 percent in March as energy costs surged, the statistics office said.
Inflation accelerated from an annual 7.5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.