Naomba Kujua Vyanzo Vipya vya Mapato ktk Budget ya 2011/2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Kujua Vyanzo Vipya vya Mapato ktk Budget ya 2011/2012

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ndenga, Jun 9, 2011.

 1. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Wakuu nimekuwa nikifuatilia sana katika budget zetu, mara nyingi nimekuwa nikiona kuongezeka kwa kodi katika vyanzo vilivyopo ie Bia, Cement, Madini, Soda, Mafuta. Lakini sijaweza kuona jitihada za kutosha katika kuweza kuonyesha na kutoa analysis ya vyanzo vipya vya mapato katika budget zetu. Hii ingeweza hata kupunguza Makato ya mshahara (payee) ya 30% zinazokatwa kwa mfanyakazi malala hoi wa Tanzania na kuwaze kumpa ahueni ya maisha( Maisha Bora kwa Kila Mtanzania).
  Noamba mwenye kuweza kutupatia analysis nzuri ya vyanzo vipya vya mapato specificaly katika budget yetu 2011/2012 na jinsi vitakavyoweza kusaidia katika mapato ya budget hii.
   
Loading...