Tanzania inatisha!meru viwanja square meter sh 24000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania inatisha!meru viwanja square meter sh 24000

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by BONGOLALA, Jun 9, 2011.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Leo ktk gazeti mwananchi nimeona tangazo la halmashauri ya arumeru kuuza viwanja maeneo ya tengeru square meter moja sh 24000.wananchi wakachukue fomu sh 10 000.Swali arusha mjini ilikua sh 8500 na majuzi ilala kinyerezi sh 10000 per sq.meter.inambna kiwanja cha 20m kwa 30m itakua sh 14.4 m jee ni wangapi tutamudu haswa mmeru anayetegemea kuuza maziwa,nyanya ndizi kwa sado? Naomba serikali iwe inatoa maamuzi kwa kufikiria kina major sarakikya wanaolipwa sh 50 000 kwa mwezi
   
 2. mujungu

  mujungu Senior Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  SAHIHISHO.......NI GENERAL SARAKIKYA (alipandishwa baada ya kustaafu)
   
Loading...