Naomba ushauri nataka kufanya mitihani ya ACCCA

wanan

Senior Member
May 11, 2011
141
40
Wadau naomba mawzo yenu kwa yule anayefahamu nataka kufanya mitihani ya acca mm mwenyewe bila kwenda review nisaidie jinsi ya kupata material na jinsi ya kulipia uk.mchongo wenu ni muhimu sana kwangu kwani elimu yangu degree moja ya baf.najuwa jf nisehemu yenye kila kitu nawengi wanafahumu mengi.naomba msaada wenu wakuu
 
its need big effort,sio kazi ndogo but unaweza ukafanikiwa. Jamaa wana descipline sana katika kusahihisha paper zao wanangalia mpaka grammar kwa hiyo inataka maandalizi ya kutosha na ujiridhishe kuwa sasa unaweza ku attempt kufanya. All the best mkuu!!
 
Fanya application kwenye www.accaglobal.com then peleka supporting documents (vyeti) kwa mail - kuna maelekezo ya kutosha. ACCA inawezekana kufanya bila review classes,kwani vitabu vyao vinaelezea kila kitu. Ila unahitaji muda wa kutosha kusoma, vitabu vyao vina mambo mengi sana na wanakutest karibu kila kitu unachotakiwa kujua.

Review classes kwa mtazamo wangu zinakupa mwanga tu, lakini wale jamaa wanatest vitu vingi sana. So hata kama mtu anaenda review anatakiwa ajisomee kwa muda wa kutosha sana kuhakikisha amemaliza kitabu, amefanya maswali na ameelewa. Huwezi kulinganisha na Degree tunavyosoma kwa raha. Unaweza kuotea mwalimu anatoa nini. ACCA kila siku wanaleta maswali mapya. Ila ukiwa umesoma hakuna kushindwa. BAF ya mzumbe? If so una paper 7 kumaliza ACCA. Unaweza kufanya 3,2,2 ukawa umemaliza.

Kila laheri. In case of usahuri zaidi, PM me nitakupa number yangu ya simu.
 
Hahaaaa, utafeli. Tafutata chuo. Fanya review mzumbe.

Negativity.......

Ukimsikiliza huyu utafeli kweli. Inawezekana kufaulu ACCA bila kufanya review. It doesn't matter umefanya review au hujafanya. Ukiingia kwenye mtuhani hujajua mambo vizuri lazima ufeli. Ukiwa na basic degree (any) unaweza kufanya ACCA bila review classes na ukafaulu vizuri, labda kama degree yako ulinunua.
 
Fanya application kwenye www.accaglobal.com then peleka supporting documents (vyeti) kwa mail - kuna maelekezo ya kutosha. ACCA inawezekana kufanya bila review classes,kwani vitabu vyao vinaelezea kila kitu. Ila unahitaji muda wa kutosha kusoma, vitabu vyao vina mambo mengi sana na wanakutest karibu kila kitu unachotakiwa kujua.

Review classes kwa mtazamo wangu zinakupa mwanga tu, lakini wale jamaa wanatest vitu vingi sana. So hata kama mtu anaenda review anatakiwa ajisomee kwa muda wa kutosha sana kuhakikisha amemaliza kitabu, amefanya maswali na ameelewa. Huwezi kulinganisha na Degree tunavyosoma kwa raha. Unaweza kuotea mwalimu anatoa nini. ACCA kila siku wanaleta maswali mapya. Ila ukiwa umesoma hakuna kushindwa. BAF ya mzumbe? If so una paper 7 kumaliza ACCA. Unaweza kufanya 3,2,2 ukawa umemaliza.

Kila laheri. In case of usahuri zaidi, PM me nitakupa number yangu ya simu.

Mkuu nimependa jinsi ulivyomtia moyo kijana. Nami nilikuwa nafikiri kuifanya hiyo mitihani ili nijiongezee werevu kichwani mwangu pamoja na mvi zangu sijui nami unanishauri vipi?
 
ahsante sana kwa ushauri nitatia timu december mungu akipenda
 
Kamua babake!hata mimi nipo mlemle!sio kusema utafeli hapana ula unaweza kupata material bei lrahisi kabisa pound tatu kwa kila paper! tembelea ACCA Exam & Revision Course, ACCA Study Books, ACCA Exam Course unaweza kununua video lecture kutoka kwa interactive kwa kila paper wanauza pia wanatoa galantii ya kufaulu ukinunua kwao materials wana hakikisha material ya paper ulionunua unafaulu!watembeleehttp://www.studyinteractive.org/.Mbali na hivyo wapo wauzaji wa vitabu ambao ni official ACCA publishers Accountancy study materials and business books | Kaplan Publishing na http://www.bpp.com.Kila la kher m2 wangu!
 
Mkuu nimependa jinsi ulivyomtia moyo kijana. Nami nilikuwa nafikiri kuifanya hiyo mitihani ili nijiongezee werevu kichwani mwangu pamoja na mvi zangu sijui nami unanishauri vipi?

Anza tu ndugu yangu. Elimu haina mwisho. Jiongezee ujuzi.
 
Back
Top Bottom