Magufuli: Ujenzi wa daraja la Kigamboni umalizike kabla Kikwete hajamaliza muda wake

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
SOURCE TBC1.

Magufuli ameahidi (serikali) kutoa 40% ya gharama za daraja. NSSF wamesema tayari wanayo 60% ya gharama nzima ya daraja.

Magufuli ametaka tenda itangazwe haraka iwezekanavyo
 
Tunataka utekelezaji na sio siasa maana hii hadithi ya daraja imekuwa kongwe sasa...............
 
SOURCE TBC1.

magufuli ameahidi (serikali) kutoa 40% ya gharama za daraja.
NSSF wamesema tayari wanayo 60% ya gharama nzima ya daraja.
Magufuli ametaka tenda itangazwe haraka iwezekanavyo

Kweli Magufuli bila madaraka ni galasa.

Atupe mpangilio wa utekelezaji wa ahadi za mkuu wake. Kati ya daraja la Kigamboni na kugeuza Kigoma kuwa Dubai, kipi kinaanza, kipi kinafuata?

Asije akashushuliwa tena
 
Nimeka nikafikiria lakini sijapata jibu. Hivi kipi kina umhimu zaidi kt ya daraja la kgmbn na kuongeza barabara ya Morogoro?(kujenga barabara za juu?) msaada kwa mwenye jibu plz
 
Vyote ni muhimu ilimradi isiwe porojo na zaidi kigamboni ni muhimu angalia raia wanaoteseka kwenda makwao utafikiri awapo DSM?
 
Tukiona wameanza ndio tutaanza kuamini lakini kwa sasa bado itaendelea kuwa siasa zilizile za kuhadaana!
 
kweli magufuli bila madaraka ni galasa.

atupe mpangilio wa utekelezaji wa ahadi za mkuu wake. kati ya daraja la kigamboni na kugeuza kigoma kuwa dubai, kipi kinaanza, kipi kinafuata?

asije akashushuliwa tena

Ya Kigoma kuwa Dubai yameanza siku nyingi labda lini inamalizika ndio swali, mbunge wa kigoma kaskazini Zitto Kabwe(CDM) ameeleza mafanikio makubwa ya serikali ya nne katika kuendeleza miundo mbinu hasa barabara( rejea maoni yake kuhusu bajeti juni 4 TBC).
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom