Kuanzia sasa msishangae matokeo ya uchaguzi kupinduliwa.
Kwanza, Chama chenyewe ni cha MAPINDUZI, kwa hiyo kupindua matokeo si jambo la ajabu.
Pili, Viongozi wake wote wa juu ni Wanajeshi...
Mwanasiasa wetu mmoja alifariki na kabla ya kuhukumiwa ahera malaika wakamshauri achague mwenyewe ikiwa anataka muingia peponi au motoni, lakini wakamsisitiza kuwa uchaguzi wowote atakaofanya ni...
Hii ya kitambo lakini wacha tushtue mbavu kidogo:
Jamaa watatu walikuwa wakisafiri kupitia kwenye msitu mnene na kwa bahati mbaya wakakutana na majitu yanayokula watu na yakawakamata. Yale...
Rais Kikwete anasemekana kuwa na wake wengi, tena ikidaiwa ameoa kwa Rostam Aziz na kwa Zakia Meghji. Pia kuna uvumi kwamba anamke wa kizungu etc. Ninaomba mwenye kuweza kutudadavulia ukweli...
Kutokana na tatizo la Wachina kuchanganya matumizi ya "L" na "R", mabo yanakuwa hivi:
Question: How frequently do you have e"L"ections in your country?
MCHINA: Eve"L"y morning.
God created donkey.
God created the donkey and said to him.
"You will be a donkey. You will work un-tiringly from sunrise to sunset
carrying burdens on your back. You will eat grass,
you will...
A mother went to see a psychologist being worried about the characters of his child.
MOTHER: I'm worried doctor, the boy is a great lier, a cheater, unfaithful, corrupt...He don't fulfill his...
FIKIRIA uko hapo tuseme Manzese basi. Unapita njia yako unasaka shilingi ambayo inaendelea kuota matairi na mbawa.
Mara ghafla unamwona kijana naye anapita akiwa na mbwa, lakini kamfunga kamba...
Bosi mmoja na wafanyakazi wake walikuwa wanaenda kujipatia kinywaji na kupumzika kidogo baada ya kufanyakazi saa bila kupumzika. Njiani walikutana na Aladini akawapa ofa ya kila mmoja kuomba...
MEMO FROM ACCOUNTING DEPARTMENT
It has come to our attention recently that many of you have been turning in timesheets that specify large amounts of "Miscellaneous Unproductive Time" (Code 5309)...
Cow Flatulence Tax Tokyo's scientists are trying to stop global warming, one toot at a time.
A key producer of methane, cow flatulence is leading cause of...
kuna michezo ambayo ilitokea kupendwa sana enzi hizo. michezo hii iliyovuna nitataja hapa michache nawe kama unakumbuka tafadhali ongezea kenye hii list, mana kila sehemu ilikuwa na michezo yake...
Kuna mama mmoja alifariki na kujikuta amefika mbele ya malaika wa mwenyezi Mungu ambaye alimfikisha kwenye chumba kilichojaa saa nyingi za mshale zisizo na kioo.
Yule mama akataka kujua zile saa...
A man and his wife were in a court for their divorce case.
The Problem was who should get custody of the child.
The wife screamed and jumped up and said: "Your Honor. I brought The child...
Nihabari za kushtusha kwa wapenzi wa muziki hususani R n' B kwa kumpoteza kipenz chao jana majira ya sa5 usiku kwa ajali yandege akitokea finland akienda australia katika moja yakazi zake...
An 18 year-old girl tells her Mum that she is two months late. Very worried, the mother rushes off to the chemist and buys a pregnancy kit. The test result shows that the girl is pregnant...
Enzi hizo bana, unajidai upo chobisi na Kishtobe wako mnapeana Ma-lovedavi, Duh nimekumbuka mbali " Enzi ya Chobisi". Ngoja na leo niingie Chobisi zangu za zamani, Karibuni Chobisi tulambe w/end...
Jamaa watatu walikufa wakaenda mbinguni walipofika geti la mbinguni wakakuta foleni kama ya dar,malaika akasema leo tunapokea wenye haraka na waliokufa kifo cha kutisha na cha huzuni kwahiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.