Beyonce afariki dunia...!

Status
Not open for further replies.

Nucho jr.

Member
Nov 18, 2010
59
0
Nihabari za kushtusha kwa wapenzi wa muziki hususani R n' B kwa kumpoteza kipenz chao jana majira ya sa5 usiku kwa ajali yandege akitokea finland akienda australia katika moja yakazi zake. Si mwingine ni beyonce johnson a finland underground r n b female artist!
 
duuuuhhhhh utani mwingine wa mangumi........


kama ni kweli nawapa pole...
 
kweli jamvi limevamiwa! Hata ujumbe wa utambulisho wako ulionyesha shaka kubwa juu ya integrity yako! Sitosoma thread yoyote utakayopost wewe kuanzia leo!
 
beyonce johnson wa finland ndiye aliyekufa kwa mujibu wa mleta habari,tatizo hatusomi between lines.
 
Niliposoma heading nilipata mshtuko, nilipofungua thread nikabaki kucheka, kweli beyonce jina kubwa, nitatafuka girl friend wa jina la Beyonce nikikosa nitambadili wa sasa jina
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom