Huyo mtoto najitahidi saana, atleast anafahamu basic form ya lugha maswala ya accent ni rahisi kurekebisha, mimi mimekwisha fika huko Burundi, wao hawajifunzi english at all, wanajifunza french, kwa ufupi ni sawa na mtoto wa Tz kuongea french, japo accent iwe mbaya lakini kama unafahamu basic basi ndio mwanzo wa kujua kitu.