Wachina noma ii

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,592
Kutokana na tatizo la Wachina kuchanganya matumizi ya "L" na "R", mabo yanakuwa hivi:
Question: How frequently do you have e"L"ections in your country?
MCHINA: Eve"L"y morning.
 
Aliyeuliza alikusudia "elections" kama ilivyoandikwa, mchina akaifahamu "erections"
 
tehe chinese bana nawavulia kofia jamaa dunia inawatambua kwa chakachuazzzzzz
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom