JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wana jf msada kuna uvumi kwamba mubunge afumaniwa na kamera mjengoni akiangaria picha zangono kwenyesim yakeyamkononi mwenyetalifa msada kamanikweri au uzushi nawasilisha
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mke alimuuza mme wake "hv kwann mwanamke akiwa anatembea na wanaume weng huitwa majna meng tena ya ajabu ajabu lakn mwanaume akiwa anazn ma wanawake weng huonekana shujaa mara utackia akiitwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
MKE>Darling leo nimeanza kufanya DIET MUME>Ooh very nice Konda mwili wote lakini please usije UKAKONDA MAKALIO YAKO
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hebu tuangalie kidogo majina ya jamaa zetu chinga. 1.Antimbulenge 2.Licholonjo 3.Litowonyo 4.Nampwenge 5.Lingwalangwanji. Endeleza.............
0 Reactions
20 Replies
7K Views
  • Closed
watanzania tunafahamu mchango wa yusuf makamba katika kukijenga Chama cha Mapinduzi (CCM) ametangaza rasmi mwaka 2015 atachukua fomu ya kugombea urais wa Tanzania . nadhani kwa upande wa taifa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
naombeni baraka zenu wana jamvi, mie ni mgeni katika uwanda huu..... nkipata baraka zenu basi mie ntavua viatu na kujikung'uta mavumbi na kuingia rasmi then 2tashare ideas...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
mnazikumbuka hizi titles? Jogoo aliyesema, Brown ashika tama, Sikukuu ya sabasaba, Sadiki na sikiri, Kibanga ampiga mkoloni, Nondo mla watu ...
0 Reactions
54 Replies
9K Views
Mmakonde navyojua kupenda balaa!mkewe alipokwenda kusalimia wakweze yaani wazazi wa mmakonde na kukaa huko kwa muda mrefu, jamaa(chinga) akaandika barua kuwajulia hali wote na aliaanza hivi : Baba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hello friends we can now have friends without them knowing us or even without us knowing them,we can share our interests and so many things so let us enjoy it.......what you have to do is to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi na mmoja ya wasomaji wazuri wa safuhii ya mahusiano, mapenzi na urafiki. Ila nimekuwa na wakati mgumu kuelewa virefu vya vifupissho hivi MMU na PM. naomba mnijuze maana zake. I beg to submit.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamaa zangu Chinga wanajua sana kwenda na wakati na matukio hasa wakati wa kuwapa majina watoto wao. Hii nilithibitisha pale Maandazi road nilipomsikia baba Ochama akiimuuliza nkewe mama Ochama...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
kuna jamaa mmoja alibahatika kwenda kusoma majuu kwa miaka miwili. aliporudi tz, basi mwendo wake ukawa wa kudunda dunda na kuinamia upande mmoja (kushoto) basi cku moja baba yake akamuuliza, kwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika maongezi, mvuta bangi alimuuliza mlevi..... Mvuta bangi: Ati India iko mbali?" Mlevi: sidhani, kwasababu tuko na mhindi mmoja kazini, huwa anakuja kwa baiskeli kila siku.
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hebu nipeni losti wadau ila nadhani Dar inaongoza. Kila sehemu niendako nakutana na lundo la machangudoa.
0 Reactions
33 Replies
38K Views
Kile kirusi maarufu "TAMBWE HIZA" ambacho ni maarufu kukamatika by any ANTIVIRUS lakini kigumu kudilitika hivi karibuni KILIKWISHNE mara baada ya kukutana na ANTIVIRUS ya ukweli.Mara baada ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
M/kiti wa mtaa (Mkurya) akitoa hotuba msibani: M/kiti: Ndugu sangu tumekusanyika haba maarum kwa chambo mocha , msee Marwa a.m.e.f.i.r.w.a na kichana wake wa kiume yure mukubwa! Chambo la...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Mtaliano mmoja kicheche na jeuri allikuwa akimzinia na kumtamkia maneno ya jeuri mkewake bila aibu wala kificho. Siku moja akiwa anamsindikiza kuja Safari ya mwezi mzima Tanzania, wakiwa uwanja wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
WanaJF Habari za asubuhi hii, Katika Pitia pitia katika vipindi vya TV nimekutana na maneno ambayo ni mara yangu ya kwanza kuyasikia, kimsingi nimeona niwashirikishe ili wanajamvi wenzangu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mnashangaa nini,kwa taarifa yako,'anayevaa khanga ya mama yako asubuhi muda wa kwenda kuoga ndo baba yako huyo,mkubali baba wa ukweli,mkubali YANGA!
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana JF Huwa ninapata shida moja kuhusiana na wanoweka tinted kwenye madirisha ya magari yao hivi huwa hawataki watu wawajue au wanaficha nini. Nisaidieni nini faida na hasara za hizi...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Back
Top Bottom