Mke na mme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke na mme

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by P I M, Apr 11, 2011.

 1. P I M

  P I M Senior Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mke alimuuza mme wake
  "hv kwann mwanamke akiwa anatembea na wanaume weng huitwa majna meng tena ya ajabu ajabu lakn mwanaume akiwa anazn ma wanawake weng huonekana shujaa mara utackia akiitwa dume la mbegu, jembe na mengne meng?"
  mme bla hata kufkirha akamwambia mbona jb lake ni rahc 2, hv kwann kufur 1 likiwa linafunguliwa na kila ufunguo huonekana halifai lakn ufunguo m1 unaofungua makufuri meng hucfiwa na kuitwa master key?
   
 2. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,993
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  sidhani km wanawake wataifurahia hii!It is not Gender sensitive!!
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  imekaa vizuri, ngoja nitoke nje nianze kucheka.
   
 4. t

  tripojo Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 4, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ufunguo mmoja unaoweza kufungua makufuli mengi kwa lugha yetu ya taifa hujulikana kama "funguo malaya"!
   
 5. P I M

  P I M Senior Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa maoni yako na c wote.
   
 6. P I M

  P I M Senior Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  chekea humu humu ndan.
   
 7. P I M

  P I M Senior Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ckutenda hak ku2mia master key?
   
 8. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  wanaume wamerithi kwani mfalme solomon pia alikuwa na wanawake 700 na vimada 300. cdhani kama kwa sasa kuna mwenye uwezo kama huo.
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  no, ni master key
   
Loading...