Antivirus yamdelete tambwe hiza

Antivirus yamdelete tambwe hiza

Mringo

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2010
Posts
320
Reaction score
100
Kile kirusi maarufu "TAMBWE HIZA" ambacho ni maarufu kukamatika by any ANTIVIRUS lakini kigumu kudilitika hivi karibuni KILIKWISHNE mara baada ya kukutana na ANTIVIRUS ya ukweli.Mara baada ya kukamatika kirusi hicho kama kawaida kilianza kuleta mbwembwe kikijua kama kawa hakideletiki..Lakini katika hali isiyotarajiwa kikashtukia VIRUS DELETED!!..kikilalamika mara baada ya tukio kilidai eti ANTIVIRUS aliyemdelete hakuwa wa kawaida kwani atakua KA-UPDETIWA na CHADEMA...kwani yeye kazoea UPDATION za kienyejienyeji za CCM ambazo ni kama nyuki wa hotelini na zisizokua na madhara....
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

imekaa vizuri hiyo
 
humu watu tunajimwaga na kuweka mambo wazi, ongea ueleweke tafadhali
 
Many have been deleted, why Tambwehiza only?Speak out clearly no one is limiting you!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom