nimewazaa kumi na mbili

nimewazaa kumi na mbili

Pota

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
2,043
Reaction score
788
kuna jamaa mmoja alibahatika kwenda kusoma majuu kwa miaka miwili.
aliporudi tz, basi mwendo wake ukawa wa kudunda dunda na kuinamia upande
mmoja (kushoto) basi cku moja baba yake akamuuliza, kwa nini unatembea
ukiwa umebend upande mmoja? we mlemavu? jamaa akamjibu baba unajua
nnilipokuwa majuu muda mwingi nilikuwa nashika vitabu kwa kutumia mkono
wa kushoto hivo nshazoea dingi au sio? usimind wala nini.
baba yake akamwambia, mshenzi mkubwa wewe mbona mimi nimewazaa
nyinyi kumi na mbili lakini nikitembea mbona sikatikati viuno?
 
ha ha ha ha ha ha ha hahhhhhhhhh! kisa hiki kimenifanya nicheke mpaka machozi nakunifanya ck yangu kuwa poa sn,
Thanx
 
ebana nimekubali hii ndo jf. Nimecheka peke yangu kama mwendawazimu!!big up sana!
 
jamaa bila shaka hapohapo akanyoka na kutembea kama awali
 
bila shaka baba mzaramu au mndengereko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom