Mnashangaa nini?

Mnashangaa nini?

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Mnashangaa nini,kwa taarifa yako,'anayevaa khanga ya mama yako asubuhi muda wa kwenda kuoga ndo baba yako huyo,mkubali baba wa ukweli,mkubali YANGA!
 
wape wape vidonge vya wakimeza wakitema shauri zao
 
Utakuwa umekalia kichwa wewe si bure, sasa khanga na ushindi wapi na wapi?
 
heri mimi sijasema manake hawa jamaa wana hasira huwa hawapendi kabisa kuambiwa ukweli. Mara ohhh mmebebwa na refa, mara ohh mliwahonga toto.
 
Back
Top Bottom