Virefu vya PM and MMU

Virefu vya PM and MMU

Mhache

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2008
Posts
345
Reaction score
27
Mimi na mmoja ya wasomaji wazuri wa safuhii ya mahusiano, mapenzi na urafiki. Ila nimekuwa na wakati mgumu kuelewa virefu vya vifupissho hivi MMU na PM. naomba mnijuze maana zake. I beg to submit.
 
pm - private mail
mmu - mahusiano, mapenzi na Urafiki.

...nijuavyo mie mbu.
 
Mhache unatuangusha mkuu miaka 3 bado hujui maana ya PM ?
 
Mimi sijui maana ya Rep Power, anayejua msaada please
 
PM = Penda Mwenyewe
Nadhani umeshawahi kusikia "sasa dia ngoja nikuPM"
Hapa anamaanisha akakupenda mwenyewe

MMU = Mambo Mazito Uvunguni
 
PM = Penda Mwenyewe
Nadhani umeshawahi kusikia "sasa dia ngoja nikuPM"
Hapa anamaanisha akakupenda mwenyewe

MMU = Mambo Mazito Uvunguni

Hahahha wewe umenivunja mbavu zangu lol
 
Mimi na mmoja ya wasomaji wazuri wa safuhii ya mahusiano, mapenzi na urafiki. Ila nimekuwa na wakati mgumu kuelewa virefu vya vifupissho hivi MMU na PM. naomba mnijuze maana zake. I beg to submit.

mi nilikuwa najua ila nimesahau. Wadau tujuzeni jamani.
 
Join Date: 20 june 2008. Lakini kuuliza sio ujinga
Nadhani umepata jibu hapo mwanzo kabisa ndugu
 
PM = Penda Mwenyewe
Nadhani umeshawahi kusikia "sasa dia ngoja nikuPM"
Hapa anamaanisha akakupenda mwenyewe

MMU = Mambo Mazito Uvunguni
He!! Hii mpya.
 
Mhhhhhh

pm =popote mapenzi
mmu =mapenzi.mahusiano na udanganyifu..
 
Back
Top Bottom