Majina ya Kimakonde

Majina ya Kimakonde

Capitano

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
1,959
Reaction score
1,635
Hebu tuangalie kidogo majina ya jamaa zetu chinga.
1.Antimbulenge
2.Licholonjo
3.Litowonyo
4.Nampwenge
5.Lingwalangwanji.
Endeleza.............
 
Hebu tuangalie kidogo majina ya jamaa zetu chinga.
1.Antimbulenge
2.Licholonjo
3.Litowonyo
4.Nampwenge
5.Lingwalangwanji.
Endeleza.............


Ungetupa na maana zake ndo ingeleta raha kweli
 
chipeta
chitende
chatwaka
nchikolo
chikololo
chepetu
 
Madingi,
Mbela
lingumbu
Chapat
Nangurukuru
Chanumbile nungu kumemena kacholo re'dyanga!!
 
Chikonge......

Julius Kambarage Nyerere....

Edward Moringe Sokoine.....

Kingunge Ngombare Mwiru...

Chamola Macheli.
 
Hebu tuangalie kidogo majina ya jamaa zetu chinga.
1.Antimbulenge
2.Licholonjo
3.Litowonyo
4.Nampwenge
5.Lingwalangwanji.
Endeleza.............



we capitano mbona unampiga sana mwenzako kwenye avatar?
sio poa

acha kumchapa makof mwenzako
 
mmakonde akiona kitu kizuri atajipa jina la hicho kitu, mfano kuna jamaa alinunua baiskeli huko nanyamba ntwara kijiji kizima yeye ndo alikuwa na baiskeli aina ya bmx basi jirani yake akajiita hilo jina la la baiskeli eti NANGU BMX!
 
Nachiangu, Nchelenje, Nkuti, Ntambingwe, njelenje, Njenje
 
wee Rose 1980 hapo chio nampiga ila nilikuwa nantikulila.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom