MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,607
Mtaliano mmoja kicheche na jeuri allikuwa akimzinia na kumtamkia maneno ya jeuri mkewake bila aibu wala kificho. Siku moja akiwa anamsindikiza kuja Safari ya mwezi mzima Tanzania, wakiwa uwanja wa ndege mbele ya marafiki zake akamwambia mke wake:
"Ukirejea Tanzania usiwache kuniletea MSICHANA WA KIMASAI"
Yule dada lilimuuma lakini akavumilia.
Siku alipokuwa anarejea, alikwenda kumpokea akiwa na marafiki zake. Mdada alipotua tu akamwuliza:
"Vipi hukufanikiwa kunipatia nilichokuagiza?"
"Nimejitahidi sana mpenzi na ninahakika nimefanikiwa, sasa tuombe Mungu tu atakeyezaliwa awe msichana"