Mmakonde

Mmakonde

Capitano

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
1,959
Reaction score
1,635
Mmakonde navyojua kupenda balaa!mkewe alipokwenda kusalimia wakweze yaani wazazi wa mmakonde na kukaa huko kwa muda mrefu, jamaa(chinga) akaandika barua kuwajulia hali wote na aliaanza hivi : Baba chalamu (salaam) mama chalamu nke wangu chikamoo. Du jamaa anjua kupenda.
 
Wee nchee Nchumali wewe, kama umemchilimicha chacha mchilimuwe
 
mke ana umri mkubwa kuliko mume love is blind
 
Mmakonde navyojua kupenda balaa!mkewe alipokwenda kusalimia wakweze yaani wazazi wa mmakonde na kukaa huko kwa muda mrefu, jamaa(chinga) akaandika barua kuwajulia hali wote na aliaanza hivi : Baba chalamu (salaam) mama chalamu nke wangu chikamoo. Du jamaa anjua kupenda.

Limbwata hilo weee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom