Tinted kwenye madirisha ya magari ni kwa ajili gani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tinted kwenye madirisha ya magari ni kwa ajili gani.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by daisy, Apr 11, 2011.

 1. d

  daisy Senior Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Habari wana JF

  Huwa ninapata shida moja kuhusiana na wanoweka tinted kwenye madirisha ya magari yao hivi huwa hawataki watu wawajue au wanaficha nini.

  Nisaidieni nini faida na hasara za hizi tinted.
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  kuficha wanyama pori
   
 3. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wengi wao huwa si watu hatari sana wanajihusisha na maovu ya kila aina hasa kukamua mademu kwenye gari
   
 4. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Za kwangu mimi ni kupunguza ukali wa jua la DSM na vile vile kuwapunguza makali trafiki maana hawajui ni nani aliyemo ndani.
   
 5. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  Tehehehehehehehe! we nawe? kwanza security yao na mali zao na ndugu na marafiki zao. pili mtu chake. hata mimi nina tints nzito kwenye gari langu na si mdhambi hata. just uamuzi na sipendi kuonekana. hata nikimkuta jirani na tenga lake la kuku nikimuacha asijue kama ni mimi or mwingine. waswahili ni lift yeye na bata au kapu la viazi kwa gari yangu! loh!
   
 6. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Mtu ana kilo 110 urefu futi 6"7 kajipigapiga kanunua ka-vitz au starlet unategemea asiweke tinted vioo...
   
 7. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Mkuu hapo unaua sasa! Futi 6"7 si atakaa kiti cha abiria wa nyuma ili miguu ifike kwnye pedeli.
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Apr 11, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,135
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kuzuia mwanga wa jua
   
 9. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  mkuu mimi na wewe utani umeanza lini?hahaahhahahhahh!maaskari wa pembezoni mwa bahari hususani coco beach wana jibu la hili swali
   
 10. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  I prefer tinted for Privacy

  Sio ukipita mahali kila mtu ajue ni wewe
   
 11. d

  daisy Senior Member

  #11
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Huu sasa ni uchoyo! kwani lazima kutoa lift hata kama umemuona huyo jirani naye kakauona. unaweza tu kumpa sababu za msingi kwamba sipendi kupakia mtu for safety purposes.

   
 12. d

  daisy Senior Member

  #12
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Si tayari najua namba za gari yako hata nisipokuona kama ndio wewe umo ndani so kama ni mtu anakufuatilia atakuona tu,sasa privacy iko wapi labda kama huwa unabadili gari every other day.

   
 13. d

  daisy Senior Member

  #13
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Bado sijaridhika na sababu zinazotolewa, siku nikiwa mkuu wa Traffic nchini nitaanza na magari yenye tinted.
   
 14. folofolo

  folofolo Member

  #14
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni privacy tu mkuu,kila mtu anasababu zake,lakini mwisho wa siku jibu halali ni Privacy,jaribu na wewe kuweka ndo utajua nini maana yake,ukitaka kupata maana juu ya Tint utapewa zaidi ya mia.
  Achana na dhana potofu kuwa tint ni kama uhuni fulani.
  Asante.
   
 15. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  mm nimeweka kwa sababu ya kupunguza mwanga wa jua.
   
 16. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,641
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahahah...DA hivi mbona comments zako huwa simple...hakuna mbwembwe wala manjonjo..inaonekana hutumii nguvu nyingi pia kuwaza cha kujibu....Turudi kwenye mada. mim nadhan ni hali ya usalama zaidi mali zilizokwenye gari pamoja na kupunguza ukali wa mwanga pamoja na privacy ya mmiliki. huu ni utaratibu wa nchi zote dunian masikini na tajiri..ndio maana gari linatengenezwa kiwandani tayari wanaweka privacy glass..na nyinvi huwekwa vioo vya nyuma tuu na very light vioo vya mbele..ukiona lenye vioo vyote basi kaweka mwenyewe hapa na kimtazamo kuna nia njema au mbaya..ni sawa na kuweka pazia mlangoni au dirishan nyumbani kwako. kuna wanaoweka pazia wengine hawaweki..hivyo kwenye magari kuna wanaweka tinted wengine hawaweki aidha kwa kutokupenda au kwa kutokujua umuhimu wa tinted..tinted husaidia sana kupunguza ushawishi kwa vibaka kwa kutokuona kilicho ndani ya gari na kushawishika kuvunja kioo.SIO watu wote wanaweka tinted kwa nia ya kufanyia maovu..wengine huweka kwa nia njema.
   
 17. O

  Ome Member

  #17
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 79
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Na kujenga fency ya kufunika mpaka madirisha kwa nyumba, hadi inaleta joto kwa chumba maana yake ni nini?
   
 18. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Privacy
  Security
  kupunguza mionzi ya jua na kusaidia AC ifanye vizuri
   
Loading...