Kosta iliyobeba abiria wakat akiwa anaendesha ghafla mbele kulikuwa na trafik akampungia mkono na kumsimamisha wakat ameshampita trafik akaona kitu kuwa kunatofaut akamfuata dereva na kumwambia...
Kuna kila dalili kesho kutatokea umwagaji damu hapa Arusha, naomba viongozi wa CDM wanipe mimi dili la kutengeneza DVD ya matukio ya kesho ili na mimi nijikwamue kutoka ktk wimbi la unasikini...
JF up!
Nakumbuka ndio nlikua namaliza masomo nchini Amerka....nkitoka nafanya shopping za nguo na viatu navituma kwa ndugu zangu kila walipo!
Siku moja mizigo ikazuiliwa..baadae ilichiwa.
Ndugu...
Watoto walikuwa wakicheza, muda wa kurudi nyumbani ukafika.
Mmoja akaanza kulia, Mtumishi wa Mungu akamuuliza, 'Unalia nini?'.
'Nimepoteza yeboyebo zangu', dogo akajibu.
Mtumishi akamwambia...
KIJANA WA KIDOSI BAADA YA KUMALIZA TUITION YA KISWAHILI, ANAJIBU IFUATAVYO:
(1) Mfa maji? tampa life jacket.
(2) Mwenda pole? tachelewa fika.
(3) Usipoziba ufa ? mizi taona mpaka dani.
(4)...
muandishi wa habari wa TAMWA alimuuliza MILIONEA,"hivi ni nani aliyekusaidia kuwa milionea?"milionea akajibu"MKE WANGU"mwandishi akasema,"kweli wanawake ni msingi wa maendeleo,kabla ya hapo...
Kuna kale ka sheria ka kulinda haki za watoto (The Childrens 2009)sijui utekelezaji wake umeishia wapi. Nipo hapa Arusha City Park (Rest in Peace) ni karibu kabisa na kituo kikuu cha polisi cha...
Hakika wanajf,mimi niko arusha hapa,kinachoendelea hapa makundi ya watu ni mengi
sana,kinachosubiriwa ni hiyo kesho patachimbika hapo mahakamani ndugu zangu,
tumechoka na huu ukiritimba wa...
Ndugu wana JF mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Mzumbe mkoani morogoro niko mwaka wa kwanza nachukua shahada ya production and operation management niliwahi kusoma seminari ya Mtakatifu Maria...
Kutokana na timu ya Barcelona kucheza mpira mzuri na wa kuvutia, inasemekana kutokana na kiwango cha mpira wao kuwa si wa dunia hii, shirikisho la soka duniani Fifa litaitafutia sayari nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.