DVD ya mauaji ya Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DVD ya mauaji ya Arusha

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nduka, Jun 5, 2011.

 1. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Kuna kila dalili kesho kutatokea umwagaji damu hapa Arusha, naomba viongozi wa CDM wanipe mimi dili la kutengeneza DVD ya matukio ya kesho ili na mimi nijikwamue kutoka ktk wimbi la unasikini nilililoletewa na CCM. Peopleeeees Power!!
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,602
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Unapumuliwa kichogoni na majini ya shehe yahya wewe!!!
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  utaahira mwingine bana. Kwa nini usianze kutengeneza ya Nape na magamba wenzie ili waTZ wauone usanii wao?? Unatumika vibaya kijana.
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,447
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ms****,nge wewe tabia kama hizi ni za machoko wanaochapwa nao
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Sawa, na mimi mchaga mwenzenu jamani nipeni dili.
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Ya Nape inaoneshwa TBC bure siwezi kuiuza, nipeni hii dili ya Arusha meku.
   
 7. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nenda katafute dili kwenye chama chama cha magamba
   
 8. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Kamuombe NAPE, yawezekana akili zako hazikupi ushirikiano au unafikiria na hicho kichwa cha ch,,,,,,n
   
 9. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Hakuna dili huko nipeni dili hii ya Arusha jamani mbona mnanitenga?
   
 10. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Sasa asiyepata ushirikiano na akili zake ni nani,mimi nataka dili CDM unaniambia ni mwambie Nape kwani yeye ni mchaga?
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,602
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Njoo mbwa wangu akupelekee moto, I will pay you,
  That is the only thing you are good at!
  :madgrin:
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,602
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Acha useng.e wewe!!!
  unachosha sasa..........ooh! CDM ooooh!!! wachaga.
  Unalialia tu!!
   
 13. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,119
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Mleta mada anawapotezea muda ndugu zangu,achana nae wala msimjibu!
   
 14. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  IQ zenu ziko sawa ndo Maana, ni kwanini usianze kujiua wewe, uchagga umetoka wapi hapa, fikra, mawazo ya ki....nge, kila kukicha wachagga kama vile ndo kabila pekee TZ, kama unataka dili anza kujiuza mbona utapata wateja
   
 15. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Sawa nitakuja lakini nataka kutengeneza DVD kwa kuwa nimesomea hii kazi. Nipeni dili mangi.
   
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Uchaga umeanzia hapa, kwakuwa Freeman Aikael Mbowe ni mchaga ndio amekamatwa naomba nafasi ya kuuza DVD nipewe mimi mchaga mwenzake, hapo ubaya upo wapi meku?
   
 17. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #17
  Jun 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  bwana mjepu dili sio kupiga picha za maandamano ya chadema tu. Hata bila maandamano unaweza kujigeuza dili mwenyewe ukapiga picha za uchi wako na kuziuza.
   
 18. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Ushauri mzuri lakini kwa sasa na mimi naitaka hii dili ya DVD ya arusha nimeona fulani ilivyomtoa.
   
 19. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwambie ukweli...........@an@***** na babayake mdogo
   
 20. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  lisasi haina macho usije ukajikuta mwenyewe unakuwa malehemu
   
Loading...