Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,322 Reaction score 2,896 Jun 5, 2011 #1 Jogoo alimwambia kuku mke 'vipi wewe mayai yanachukuliwa na wewe umekaa kimya' kuku mke akajibu 'afadhali mie, wewe unaadhini alfajiri kila siku kisha hwendi kuswali'.
Jogoo alimwambia kuku mke 'vipi wewe mayai yanachukuliwa na wewe umekaa kimya' kuku mke akajibu 'afadhali mie, wewe unaadhini alfajiri kila siku kisha hwendi kuswali'.
F fukunyungu JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 717 Reaction score 195 Jun 5, 2011 #2 unamaanisha nn?
F fukunyungu JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 717 Reaction score 195 Jun 5, 2011 #4 unamaanisha nn?
P Parachichi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2008 Posts 510 Reaction score 104 Jun 5, 2011 #5 haieleweki!