Ili uonekane mjanja 79s ulifanyaje? All over the world.

Ndevu mbili

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
379
Reaction score
42
JF up!
Nakumbuka ndio nlikua namaliza masomo nchini Amerka....nkitoka nafanya shopping za nguo na viatu navituma kwa ndugu zangu kila walipo!
Siku moja mizigo ikazuiliwa..baadae ilichiwa.
Ndugu zangu walio bongo ilikua nikunitumia mibarua ya shukran nyingi...sijui ilikuaje huko walipokua wakiipokea hyo misaada!
 
Mkuu 79 ndio kwanza niko STD ONE. Haah haaah haaa.
 
JF up!
Nakumbuka ndio nlikua namaliza masomo nchini Amerka....nkitoka nafanya shopping za nguo na viatu navituma kwa ndugu zangu kila walipo!
Siku moja mizigo ikazuiliwa..baadae ilichiwa.
Ndugu zangu walio bongo ilikua nikunitumia mibarua ya shukran nyingi...sijui ilikuaje huko walipokua wakiipokea hyo misaada!

Una bahati sana!
Jamaa humu wangeanza kukushambulia kua umetokea mikoa iliopo TZ K.a.g.e....!
 
Back
Top Bottom