Kijana wa kidosi baada ya kumaliza tuition ya kiswahili, anajibu ifuatavyo: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana wa kidosi baada ya kumaliza tuition ya kiswahili, anajibu ifuatavyo:

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by NGULI, Jun 4, 2011.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  KIJANA WA KIDOSI BAADA YA KUMALIZA TUITION YA KISWAHILI, ANAJIBU IFUATAVYO:

  (1) Mfa maji?… tampa life jacket.
  (2) Mwenda pole?…tachelewa fika.
  (3) Usipoziba ufa ?…mizi taona mpaka dani.
  (4) Usilolijua?…uliza google.com.
  (5) Mbio za utelezini?…chafua guo yako.
  (6) Ukipenda boga?…ngoja mezi ya ramzani tapata.
  (7) Ukiona vinaelea?…iko nyepesi hiyo.
  (8) Maji yakimwagika?…mambie dada ta-deki.
  (9) Chelewa chelewa?…takosa guo ya sikukuu…..
  (10) Kila ndege .....? Hutua Airport
  (11) Bandu bandu ....? Rafiki yake Juma
  (12) Mtaka cha Mvunguni ....? Binua tanda
  (13) Simba mwenda kimya .....? Kama sio gonjwa basi ina njaa
  (14) Aisifuye mvua ....? Mkulima
  (15) Barabara ndefu ....? Ongeza mwendo, tachelewa fika
  (16) Mlanawe hafi nawe ila .....? Takimbia
  (17) Asie sikia la mkuu ....? Tapeka jela
  (18) Hasira za mkizi ....? Tatafuna veve
  19) Mchamba wima ....? Karibu ya Hurumzi
  (20) Akumurikae mchana ....? Kipofu
  (21) Mficha maradhi ....?Taenda Loliondo
  (22) Mkataa wingi ....? Taenda Chadema
  23) Bendera ....? Kama sio ya CCM, ya CUF
  (24) Baniani mbaya ....? Sio kweli, naonea tu
  (25) Akili nyingi ….? Tapasi mtihani
  (26) Penye kuku wengi? ........ Chija bili tatu ivi
   
 2. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  mmmh! nimejikuta nacheka peke yangu chumbani!
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Eh! Kumbe wewe ndie cheusimangala, nilikuwa sijui.


  https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/142189-mdosi.html
   
 4. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  He he he nimecheka mpaka watu wananishangaa
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,576
  Likes Received: 12,860
  Trophy Points: 280
  jamani nimecheka mpaka mchozi umenitiririka teheteheteheeee
   
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  No 22&23,ar u ant...???kavue gamba!!
   
 7. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  aaah aaah hii chekesha mimi...
   
 8. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Imebidi na leo nirudie hii thread....eti bandu bandu rafiki yake juma....he he he he
   
Loading...