Tangazo la biashara duka la mchaga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la biashara duka la mchaga

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by BLUE BALAA, Jun 4, 2011.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tunauza, Mikate, Kisusio, matofali, mchele, kokoto, oil chafu, nyama choma, matunda, nondo, cement, firigisi za kuchoma, majeans, kofia, maziwa fresh, mtindi, mkaa, baiskeli, dizeli, matairi, tunaziba pancha na kutengeneza baiskeli, chakula cha mifugo, pumba za mahindi, maziwa mtindi, mbao pamoja na magogo. Karibuni sana.
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  umesahau mkuu na used spare part from Japan. Pia kukodisha muziki, tarumbeta na mapambo kwenye sherehe.
   
 3. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Umesahau na mbege
   
 4. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hii ni kali ni mchanganyiko kwa kwenda mbele
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  umesahau...simu,mikate, dawa(kwa binadamu na mifugo )
   
 6. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  sumu ya panya, kunguni, viroboto, mapunye na fangas
   
 7. M

  Mwombeki Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawakubali sana wachaga.
   
 8. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jamani,tukiachana na utani,duka la namna hii nimelishuhudia kwa macho yangu pale makorola Tanga,yaani nyama ya ng'ombe,unga wa ngano,vifaa vya ujenzi,udalali wa nyumba za kupanga na viwanja n.k.
   
 9. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Iyo bora angeiita mixed Mini supermarket.
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kinacho mata ni mkwanja tu siunajua kale kamsemo (Mungu Onesha Sasa Hela Ilipo - MOSHI)
   
 11. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kaka acha hiyo Makorola, Nenda Arusha utachoka mwenyewe, sasa huwa sielewi elewi kwamba ndo formula sahihi ya kutafuta pesa au inakuwaje...maana sumu na vyakula ndani, spare parts na Pembejeo ndani...yaani ni soooooo
   
 12. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :confused2:
  Umesahau ndugu,kulikuwa pia na kibao kimeandikwa "vyumba vipo"
   
 13. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Du hapo tungeeandamana
   
 14. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kweli aisee chuma chakavu
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Dah nimepunguza stress sante sana mkuu
   
 16. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  nimependa mix hiyo yaani mchaga macho kwenye salari.
   
 17. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  MOSHI = MUNGU ONESHA SASA HELA ILIKO Duuh!
   
 18. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nilienda sehemu inayoitwa Mang'ula huko Morogoro. Kuna duka moja wanauza bidhaa mchanganyiko vikiwemo mbolea za chumvichumvi. Ule mzani wanaotumia kupimia sukari, unga n.k ndio pia unatumika kupimia mbolea kwa wateja wanaonunua kiasi kidogo cha mbolea.
   
 19. Jungumawe

  Jungumawe JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2011
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 246
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  tunaranda mbao,tunachoma grill, mafuta ya kula,vipodozi, kiti moto, saloon, mtori, trupa, car wash, photocopy,tunarepea fire extingisha,magari kwenda kwa babu
   
 20. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  hivi jamani, hapa leseni ya biashara inakuwa imeandikwa biashara gani? Sheria si zinagomba namna hii? Hii nimeona pia kwa Wakinga, yaani ukiingia duka la mkinga unamaliza mahitaji yako yote kuanzia ya sokoni, ujenzi, kilimo na common needs.
   
Loading...