Nambeni msaada wataalam

Nambeni msaada wataalam

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
27,650
Reaction score
16,730
Habari zetu kwa ujumla? Naomba mwongozo wenu wana jf
ili niweze kuweka avatar yangu na mimi please
 
Ndugu, ukitaka kuweka avatar fuata hii link https://www.jamiiforums.com/usercp.php kisha pembeni kushoto tafuta sehemu imeandikwa MY SETTINGS, chini yake utapata option imeandikwa Edit Avatar.... Basi ukishafungua itakuonesha sehemu inayosema Upload Image From Your Computer: mbele yake kuna kiboksi kimeandikwa Browse, ki-click na moja kwa moja kwa moja itaingia kwenye system yako na utakachotakiwa kufanya ni kuchagua picha unayotaka kutoka mahali ulipoiweka kwenye system yako then unai-upload....

Good luck..
 
Back
Top Bottom