Watoto hawa wapo baa usiku R.I.P A town!

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Kuna kale ka sheria ka kulinda haki za watoto (The Childrens 2009)sijui utekelezaji wake umeishia wapi. Nipo hapa Arusha City Park (Rest in Peace) ni karibu kabisa na kituo kikuu cha polisi cha Arusha. Yapata saa mbili kasoro usiku sasa watoto wadogo wapo kibao wanabembea wakati wazazi wanakata kilevi. Hili ni eneo ambalo ma changu wa Arusha wanavinjari hovyo hovyo, sijui mamlaka za serikali hapa Arusha zinafikiriaje jambo hili la kuweka sehemu ya kucheza watoto kwenye baa?! Mungu tusaidie.
 
Na tuombe sana kwa Mungu maana uko tunakoelekea ni kubaya zaidi.
 
Kwani meya wa jiji la arusha hafanyi kazi kwa ufasaha, au kwa sababu alichaguliwa na magamba peke yao
 
Back
Top Bottom