Tetesi: Barcelona yafungiwa kushiriki michuano mikubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi: Barcelona yafungiwa kushiriki michuano mikubwa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Landala, May 29, 2011.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kutokana na timu ya Barcelona kucheza mpira mzuri na wa kuvutia,inasemekana kutokana na kiwango cha mpira wao kuwa si wa dunia hii,shirikisho la soka duniani Fifa litaitafutia sayari nyingine timu ya Barcelona ambapo mpira wanaoucheza utaendana na sayari waliyopo,kutokana na kucheza mpira mzuri na wa kuvutia ambao sio wa sayari hii ya dunia tunayoishi.Kwa kweli BARCELONA wanatisha.
   
 2. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kweli aiseee!
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  Hii ni kweli hata mimi nilisikia, jamaa walitisha
   
 4. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yaani hii timu imeshindikana kabisa!
   
 5. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Barcelona is the best team ever
   
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Ilipotolewa arsenal,Man U walikejeri sana...hawakujua!hawakujua!
   
 7. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wale watoto wapo kwenye kiwango cha juu kuliko maelezo kwa kipindi hiki.
   
 8. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  ha,ha,ha,ha,haaa kwan wanaocheza mpira katika timu ya baka si watu wa sayari hii so we kama ni man u pole sana kwa kichapo cha jana ila kuhusu suala la baka wakacheze mpira sayar nyingine pole sana haipo hyo kitu ha,ha,ha,ha,ha,haaa mawazo ya mashabik wa man bana poleeeniii jana mlichezewaaaaa
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ulisikia !? du pole sana umepitwa mtu mzima jana kaaibishwa mji kimya kama umenyeshewa mvua kweli jana ni wapenda ingawa mimi siyo shabiki wao...
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Walipakatwa....
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu, lakini wameanza kuchoka, nipe miaka miwili utaona...
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Barca ukiondoa Messi, Xavi na Iniesta ni ya kawaida sana. Ukiondoa hii combo kijasho cha ulimi lazima kiwatoke.
   
 13. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  punguza ukali wa maneno kidogo, sema waliolewa
   
 14. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  ha,ha,ha,ha,haaaa yan kaz kwel kwel jana walikuwa wadogoo mpaka huruma
   
 15. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  nini kuolewa hata ujauzito walipewa jana ile ile ha,ha,haaa
   
 16. M

  Masuke JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  mkuu ukisema hivyo unakosea, utawaondoaje sasa wakati wamesajiliiwa hapo, na wenyewe watasema man wangeondoa vandersa na vidic mechi ya jana ingekuwaje.
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hakuna maoni yaliokosewa mkuu ndio maana yanaitwa maoni :biggrin1:
   
 18. M

  Masuke JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  sawa mkuu naheshimu maoni yako.
   
 19. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Man vs Barc utadhani Yanga kakutana na Aston Villa.
   
 20. e

  emrema JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Man U mpo tayari tukate refani mechi ya jana irudiwe?
   
Loading...