JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Teja mmoja alikuwa na tabia ya kuokoteza vishungi vya sigara(i.e vipande vinavyobaki baada ya sigara kutumika).Kwa Kila vishungi sita(6),teja aliunda sigara nzima moja(1).Siku moja teja aliokota...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
As I was going to St Ives I met a man with seven wives Each wife had seven sacks Each sack had seven cats Each cat had seven kits Kits, cats, sacks and wives, How many were going to St Ives?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nasikia Jiji la Dar ndo jiji pekee linaloongoza kwa wingi wa washamba duniani!
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jake was dying. His wife sat at the bedside. He looked up and said weakly: 'I have something I must confess.' 'There's no need to, 'his wife replied...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alimpiga kibao jamaa ana stimu za bangi, jamaa akamuuliza: "umenipiga kikweli au umenitania? akamjibu kikweli, Mla akamwambia: Afadhali kwani mi spendi utani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baba mmoja alikuwa na mazoea ya kulala uchi. Siku moja wakati anajiandaa kulala akavua nguo, mara mtoto kaingia chumbani bila hodi. Baba akaona hii noma, ikabidi aufiche u b o o katikati ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mla bangi mmoja alifungia funguo ndani ya gari, wakaja vijana na waya wakamfungulia, akawaomba ule waya akatoe copy.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jk amekuwa bingwa wa kuwaunganisha watanzania katika mambo ya kijamii. Amefanikiwa kutembelea hadi gerezani kuona jinsi maisha yalivyo,amehudhuria misiba mingi pengine kuliko rais mwingine...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shekh yahya na Gwajima nani zaidi MCHUNGAJI AMPA MASHARTI SHEH YAHAYA-JANUARY 4 ,2010 Siku chache baada ya mtabiri mashuhuri wa Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahaya Hussein wa Dar es Salaam...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
Mlevi mmoja alipita makaburini usiku bahati mbaya kulikuwa na kaburi lililochimbwa hajazikwa mtu, akatumbukia, kila alivyojaribu kutoka ikashindikana, akaamua kulala mule, muda si mrefu akapita...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kWA VIONGOZI WOTE TANZANIA;;;;;;;;;;;;;;;;;; YouTube - ‪The Black Eyed Peas - Where Is The Love?‬‏
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani duniani kuna watu wa ajabu sana, huwezi amini leo kanisani nilikaa na jamaa mmoja anavuta sigara kanisani bila woga, nilitetemeka nusura niangushe bia yangu....
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Wazima wote?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tangazaji mmoja aliwauliza vijana 2 waliopuliza ganja: Mtangazaji: Hebu wewe tuambie kuhusu Tz. No.1: Mimi mshkaji Tz ni mama yangu imenilea na kunikuza. Mtangazaji: Vizuri, na wewe ndugu tuambie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Uvimbe kwenye Ubongo : Daktari: Nasikitika kukwambia una uvimbe kwenye Ubongo. Masawe: Ndiyo (akaruka kwa furaha) Daktari: Umenielewa nilichokwambia? Masawe: Ndiyo nimekuelewa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JF nashukuru kwa michango yenu! Hilo swali nimekua nalisoma mara kwa mara kwenye maandiko mengi sana. Kwako wewe unachangia vipi? Tunawasilisha!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuku anakula hata kinyesi cha binadamu hata kupelekea usemi ukimchambua kuku huwezi kumla.lakini kwa muonekano tofauti na bata hachezei tope,bata kwa upandewake tope na kunya ovyo ndo jadi,lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
John alinunua gari kwa £4000,akaliuza kwa Henry £5000.Akalitamani tena,akalinunua kutoka kwa Henry kwa £6000.Siku za baadaye,akaamua kumuuzia lile gari Jane kwa £7000.Je,John alipata faida ya £...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi kama ingelikuwa kila ukitenda dhambi moja unatobolewa tundu moja. Jee sisi leo tungefanana na kipi kati ya hivi: NETI, CHUJIO au TENGA?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sisimizi wawili walikutana na punda wakamwambia tupigane mieleka, punda akawajibu: hivi mnaona mimi mjinga sana, nyinyi wawili mimi mmoja si mtanichangia, kama mnataka tupigane mmoja mmoja.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom