milionea

milionea

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
muandishi wa habari wa TAMWA alimuuliza MILIONEA,"hivi ni nani aliyekusaidia kuwa milionea?"milionea akajibu"MKE WANGU"mwandishi akasema,"kweli wanawake ni msingi wa maendeleo,kabla ya hapo ulikuwa nani?"
Milionea akajibu"BILIONEA"
 
Subiri baada ya muda atakuwa lakinea, kuminea, elfunea, mianea, mojanea na mwisho kabisa atakuwa ombanea.
 
ha,ha,ha,ha,ha,haaaa...! Hii inaweza ikawa kwel hii
 
Back
Top Bottom