Aje mwingine, siyo mungu!

Aje mwingine, siyo mungu!

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
627
Reaction score
181
Jamaa akitalii mlimani, ghafla kadondoka, akashika tawi la mti,akaw ananing'inia. Kisha kapiga kelele kuomba msaada;
JAMAA: Jamani kuna yeyote hapa anisaidie?
MUNGU:Jiachie nitakudaka.
JAMAA: Wewe nani?
MUNGU:Mimi Mungu.
Jamaa baada ya kutafakari, akapiga tena kelele:
JAMAA:Jamni, kuna mtu mwingine hapa anisaidie?!:majani7:
 
hahahaahhahahahah lol
very funny ..
thank you ..
 
alijua kwa Mungu ni soo maana bado hajajiandaa kwenda huko.
 
hahaha aje mwingine sio !hahaha jamaa hakuamini kama msaada watoka kwa Bwana Mungu!
 
Back
Top Bottom