hawa majamaa balaa!!!

hawa majamaa balaa!!!

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
Nyani Ngabu ana masifa kishenzi.

Lizzy ana mawenge

Faiza Foxy ni mbishi, ukijaribu hata umueleweshe jambo atazidi kung'ang'ania

Pdiddy ana kamtindo wa kupaste threads ndefuuuu kutoka kwenyd mablogs na kuzileta humu

Ulimakafu ana ka upendeleo, ukimwambia taja watu anaowapenda jf atataja wanawake kibaooo

AshaDI mama wa kuchukia, ukimsupport atafurahi lakini ukimboa anaweza alie

Mentor yeye ni full mapumba

uporoto01 huwa halali, ni zaidi ya FF

The Boss full majigambo na dharau

Paw mzee wa kupiga Ban ni balaa

bebii huyu anadanganyika, anadai ana umri mkubwa alafu yuko bikra

vivian uki pm tu kaingia line

Rev masalia yeye ni pasta lakini mhh!!

Oooh!!!

Jamani ee tusichukiane, huo ni mtazamo tu.
 
Wengine, chatu dume kiherehere wa kupotosha ukweli

Maayo ana act mjinga wakati ana akili.
 
Nyani Ngabu ana masifa kishenzi.

Lizzy ana mawenge

Faiza Foxy ni mbishi, ukijaribu hata umueleweshe jambo atazidi kung'ang'ania

Pdiddy ana kamtindo wa kupaste threads ndefuuuu kutoka kwenyd mablogs na kuzileta humu

Ulimakafu ana ka upendeleo, ukimwambia taja watu anaowapenda jf atataja wanawake kibaooo

AshaDI mama wa kuchukia, ukimsupport atafurahi lakini ukimboa anaweza alie

Mentor yeye ni full mapumba

uporoto01 huwa halali, ni zaidi ya FF

The Boss full majigambo na dharau

Paw mzee wa kupiga Ban ni balaa

bebii huyu anadanganyika, anadai ana umri mkubwa alafu yuko bikra

vivian uki pm tu kaingia line

Rev masalia yeye ni pasta lakini mhh!!

Oooh!!!

Jamani ee tusichukiane, huo ni mtazamo tu.

Unaweza kuthibitisha mitazamo yako!??
 
kweli FB umeanzisha uzi wa NN na Lizzy

Hmmm....mimi na Lizzy tumekuwa tukitamkwa kwenye sentensi moja mara kadhaa sasa. Maybe we are the new JF power couple teh teh teh....nasubiri mashuti.
 
Hmmm....mimi na Lizzy tumekuwa tukitamkwa kwenye sentensi moja mara kadhaa sasa. Maybe we are the new JF power couple teh teh teh....nasubiri mashuti.
Kama kawaida yako, ful kujiproud, na huyo lizzy basi utakuta ananiandalia mabomu, anajifanya anajua saana huyo mtoto wa kike
 
vivian uki pm tu kaingia line

Oooh!!!

Jamani ee tusichukiane, huo ni mtazamo tu.

Wanaume wakipigwa chini wanamatatizo.

Nina uhakika kama sikukatalia siku ile usingesema.

halafu wewe! Ngoja nipost ile Pm yako hapa.
 
Kama kawaida yako, ful kujiproud, na huyo lizzy basi utakuta ananiandalia mabomu, anajifanya anajua saana huyo mtoto wa kike

Lizzy is the truth. She is unquestionably, undoubtedly, arguably, 100 percent without a shadow of a doubt the HOTTEST CHICK IN JF.
 
Wanaume wakipigwa chini wanamatatizo.Nina uhakika kama sikukatalia siku ile usingesema.halafu wewe! Ngoja nipost ile Pm yako hapa.
hahahahahahahahahahaha!!!! Iweke, ila usije ukaiweka ile ya kumpiga chini Saint Ivuga.
 
Lizzy is the truth. She is unquestionably, undoubtedly, arguably, 100 percent without a shadow of a doubt the HOTTEST CHICK IN JF.
ngoja aione vivian! I'll not be there to switch off the arrising fire.
 
Lizzy Licious a.k.a. Toto la Kidotcom uko wapi? Hebu kuja basi na huku banaa
 
Back
Top Bottom