msnajo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 3,066
- 1,143
Wadai mtanisamehe, hali inatisha jamani. Ningekua na uwezo ningepiga fumigation system nzima ya utawala, ianze tena upya. Huu si utani, inaumiza hali ni mbaya na hakuna anaewaza kuhusu hali za Watanzania... Can any body tell me what is going on here in Tz? What is behind the screen?. Je yale malengo ya milenia(MDGs), tutayafikia kweli? Mwisho ni 2015, only 4 years to go! ni changamoto tu wadau. Give ou ynur comments.