hivi ingelikuaje?

hivi ingelikuaje?

kingazi

Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
35
Reaction score
7
unafikiri ingelikuaje kama watu wakifanya tendo la ndoa lile bao linapopatikana lingelikuwa linatoka na mlio kama wa bunduki, usiku ingekuaje?
 
unafikiri ingelikuaje kama watu wakifanya tendo la ndoa lile bao linapopatikana lingelikuwa linatoka na mlio kama wa bunduki, usiku ingekuaje?
Kabla hujajibiwa weka photocopy ya cheti chako cha kuzaliwa hapa chini.
 
Mwehhhh
Chuja kabla ya kusema...
Vingine mezea tu.....
 
Kuna mtu alibandika kulalamika kuhusu uwepoi wa 'watoto' jamvini.

Hebu apite hapa.
 
kuna vitu vyengine ni utoto ila vinakufanya ucheke, hivi ulifikiria nini wewe mtoto?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom