rangi nyeusi kwenye bendera sasa ndo yadhihirika na tanesco wamewezesha hilo, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

rangi nyeusi kwenye bendera sasa ndo yadhihirika na tanesco wamewezesha hilo,

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by nzom, Jul 27, 2011.

 1. n

  nzom Senior Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Baada ya miaka hamsini ya kusema tuko huru katika bendera yetu kuna rangi kubwa nyeusi.nimefikilia sana na sasa nimepata jibu ya kua ni giza na tanesco wanadhihirisha hilo kwa kukata umeme na kwa kua hakuna uwezekano wa kuisafisha naungana na katibu wangu dr slaa kua tuandamane nikiwa udsm niliamini na nilifundishwa kua haki hupewi ila watakiwa kuidai sasa ni wakati nitajitoa kwa moyo na akili zangu katika tanganyika yangu
  Mungu wangu nitie nguvu
   
Loading...