Nimelitoa kanisani

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Kwamba kwa nini mtu mlevi ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano lakini hawezi kunywa soda zaidi ya tatu? Kuna nini hapa!
 
Mapepo tu ndo huwa yanachangia hapo ila wenyewe watakwambia eti coz soda ina sukari nyingi!
 
Kwamba kwa nini mtu mlevi ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano lakini hawezi kunywa soda zaidi ya tatu? Kuna nini hapa!

Mie nakunywa soda kumi na silewi, sasa wewe umeshasema ni mlevi, sasa mlevi unataka alewe soda? Unachekesha!
 
kama kawa mzee wa kukurupuka. Sasa hapo maswala ya kulewa yametoka wapi! Uwe unasoma post mpaka mwisho ww!
Unauliza maswala ya kulewa yametoka wapi wakati unaongelea mlevi na bia? Ama kweli JF imeingiliwa. Nenda shule kasome achana na haya majukwaa ya watu wazima.
 
Unauliza maswala ya kulewa yametoka wapi wakati unaongelea mlevi na bia? Ama kweli [color= red]JF imeingiliwa[/color]. Nenda shule kasome achana na haya majukwaa ya watu wazima.
Hivi are you 4 real! Kwa hiyo hata hujaelewa kinachoulizwa,au ulichojibu ndo umeona kwene pumba zako hiyo ndo inafaa? Either ni maisha or umri wako ndo unatatizo! Anyways hauko sawa we 'jamaa',afu vipi 2000/= zenu bado wanawapa? Umeongelea jf kuingiliwa ukanikumbusha hii.https://www.jamiiforums.com/complai...mizi-ndani-ya-jf-ni-wakati-wa-kuwatambua.html
 
Mie nakunywa soda kumi na silewi, sasa wewe umeshasema ni mlevi, sasa mlevi unataka alewe soda? Unachekesha!
mtu mlevi anayeongelewa hapa ni yule mnywaji(huwa anakunywa pombe) sasa kwann hana uwezo wa kunywa soda nying,wakat anakunywa bia nying na vyote ni vimiminika.
 
Umeshasema ni "mtu mlevi", sasa unataka "mtu mlevi" akalewe soda? Unanshangaza.
 
Hahahaha, ukileta pumba humu unakutana na mchele. Ukileta hoja hakikisha unaweza kuitetea, si wote wenye mawazo mgando, upo hapo ulipo?
nahisi yako ndo yameganda, we ni mtu wa kawaida umakunywa soda 10? Mhhh! Au ndo yaleyale ya kusema FF haeleweki? Zamani muda mwingi kwenye Computer tukahisi jini leo unakuja na mapya ya kunywa soda kumi kwa mfululizo! Hahahahahahahaha!!! Tuambie we ni nani?
 
Hayo umeongeza wewe, hata huyo mnywaji beer hazinywi beer kumi mfululizo, unanini weyee? Unachakachuwa kweupeeeee!
 
Lakini bibie haya mambo ya ulabu si vyema kuyaingilia saana maana kwako si ni haramu wewe? Au unakunywa? Sema soda 10 na Serengeti ngapi?
 
Kwamba kwa nini mtu mlevi ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano lakini hawezi kunywa soda zaidi ya tatu? Kuna nini hapa!

It might be down to preference but also try to look at their chemical composition and how they dealt with once they enter your system.
 
Hayo umeongeza wewe, hata huyo mnywaji beer hazinywi beer kumi mfululizo, unanini weyee? Unachakachuwa kweupeeeee!
kwanza swali langu liliuliza kwa nini bia inayolewesha mtu hunywa nyingi wakati hiyo soda kumi unazokunywa wewe huyo huyo mlevi hawezi kuzidisha tatu ingawa haileweshi. Huoni kama ulibaka hoja? Mhh ff!
 
Kwamba kwa nini mtu mlevi ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano lakini hawezi kunywa soda zaidi ya tatu? Kuna nini hapa!

Sasa wewe ushasema mlevi alafu unaongelea habari za soda tena!!?

Majibu unayo mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom