Jamani Posta mpya

lidoda

JF-Expert Member
Apr 27, 2008
641
574
kwangu Mimi Posta mpya ni kama jicho la fasheni. akina wadada warembo, mavazi yao ndo .... mwenzangu waionaje Posta mpya?
 
Mm posta mpya huwa naangalia uumbaji tu afu nayaacha hapo hapo...thank Allah cna tamaa na wanawake aise
 
you great thinkers, sasa kazi huwa mnafanya saa ngapi? ...ina maana katika vitu vyote vilivyoumbwa na Mungu mnaona wanawake tu!? Kweli Waafrica tuna kitu cha ziada katika kuumbwa
Mm posta mpya huwa naangalia uumbaji tu afu nayaacha hapo hapo...thank Allah cna tamaa na wanawake aise
[U said:
fukunyungu;2280088]mi huWA nadindisha muda wote ninapokua posta mpya jamani! Bora umesema.
 
you great thinkers, sasa kazi huwa mnafanya saa ngapi? ...ina maana katika vitu vyote vilivyoumbwa na Mungu mnaona wanawake tu!? Kweli Waafrica tuna kitu cha ziada katika kuumbwa

Posta mpya gani?? wengine tuko huku naliendele..sasa ukisema posta mpya unatuacha..au hii JF ni ya watu wa wapi?
 
Posta mpya gani?? wengine tuko huku naliendele..sasa ukisema posta mpya unatuacha..au hii JF ni ya watu wa wapi?[/SIZE]

Mkuu hii thread ni kwa wale waishio Dar es salaam, na ambao wanapenda kwenda eneo moja linaitwa posta mpya na ni wale wenye kula kwa macho.
 
Mkuu hii thread ni kwa wale waishio Dar es salaam, na ambao wanapenda kwenda eneo moja linaitwa posta mpya na ni wale wenye kula kwa macho.
Haya bwana..na sie wa mikoani tutaanza kuulizana mtoto wa nani anachezwa ngoma wiki hii..kumbe nyie wa Dar mna thread zenu..
 
Haya bwana..na sie wa mikoani tutaanza kuulizana mtoto wa nani anachezwa ngoma wiki hii..kumbe nyie wa Dar mna thread zenu..

Mkuu mi siko Dar angalia location yangu!!

Huku tunafukuzana mtoni kwenye mchanga, na hiki kiangazi balaa tupu. Mnalala kwenye mchanga lakini khanga moja mhimu, na miwa mirefu. Basi maisha yanasonga mbele, hatujui mgao wa umeme wala foleni za magari. Rais wetu Nyerere akija ndo tunaona tingatinga linachonga barabara vinginevyo sahau, ni vumbi tu kwenda mbele.
 
Kuna jamaa yangu yeye anasema siku akiboreka anaenda posta pale anatafunta angle nzuuri anakaa hata 2hrs just kuona tu uumbaji wa mola, akitoka hapo swaaafi karidhika
 
Niliwahi kujiuliza kila anayekwenda Posta mpya anabadilika ghafla au? sijawahi kuona "mmbaya" pale!!
 
mi huWA nadindisha muda wote ninapokua posta mpya jamani! Bora umesema.
Sasa nyinyi hukota posta huwa mnakwenda kutafuta wanawake au mnakuwaga na shughuli maalumu,maana mimi hainiingii akilini mtu kudindisha ovyo utafikiri ngo'mbe ambeye yupo teyari kufanya mapenzi sehemu yoyote!acheni uzushi kudindisha ni suala la kisaikologia haliwezi kutokea kiuraisi kama mnavyolielezea!!
 
Kuna jamaa yangu yeye anasema siku akiboreka anaenda posta pale anatafunta angle nzuuri anakaa hata 2hrs just kuona tu uumbaji wa mola, akitoka hapo swaaafi karidhika
O.k kumbe ndiyo maana nchi haiendelei,kijana badala ya kufanya kazi ili nchi iendelee unakaa kona kuangalia mademu,huu ni ujinga wa hali ya juu!!
 
kwangu Mimi Posta mpya ni kama jicho la fasheni. akina wadada warembo, mavazi yao ndo .... mwenzangu waionaje Posta mpya?

karibu dar es salaam ila usiwasahau ndugu zako uliowaacha nyumbani kwani wanakutegemea uwainue kiuchumi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom