Mama wa kipare Imetosha

Mama wa kipare Imetosha

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,458
Reaction score
4,673
Wakuu nimepita sehemu nikafanikiwa kuona Kipengele Cha Bunge akiongea Anne Kilango Malechela akidai Bara bara kwa wakulima wake wa Tangawizi.

Mama kaongea kwa Jazba mpaka mwenyekiti wa Bunge akamwambia imetosha ''MAMA WA KIPARE''

Hivi wake wa kipare wanakua wakali hivi? Ninasema hivi Coz Nilikua najiuliza kwanini mwenyekiti wa Bunge alisema mama wa Kipare, Alikua anaonyesha wanawake wa kipare ni soo.
 
ntakuwa wa pili kukutakana kwa hii sredi yako nasubiria wenzangu waanze
 
ntakuwa wa pili kukutakana kwa hii sredi yako nasubiria wenzangu waanze

Mkuu ukinitukana utakua unanionea Bure. Hapa sioni kosa Langu

Hayo ni maoni yangu tu Marytina.
 
ni kweli wanawake wakipare ni machachari mnooooo!
 
Alikuwa anamuonyesha kuwa ni msanii tu! Ndio kawaida wa wakina mama wakipare ila sidhani kama hii ni politi kwa jinsi ulivyo uliza!
 
Alikuwa anamuonyesha kuwa ni msanii tu! Ndio kawaida wa wakina mama wakipare ila sidhani kama hii ni politi kwa jinsi ulivyo uliza!

Kama ndivyo walivyo basi kazi ipo kwa wahusika.
 
Hii mada nayo ni mchango kwa maendeleo ya Nchi yangu au ni maongez baada ya kukaa sana gizani umeme hakuna ?
 
nyie mnadhani Malecela anampeleka kule anakotaka? lazima kuna support inatoka mahali. wamama wa kipare hawana utani, ni machachari kweli.
 
Me mpare ndo nimemuoa kwenye 6x6 ukweli wako vizuri ila wana hasira ukiwauzi japo si wakorofi na ni wakarimu sana tena siyo wabahili/wachoyo kama wanaume wa kipare.
 
Me mpare ndo nimemuoa kwenye 6x6 ukweli wako vizuri ila wana hasira ukiwauzi japo si wakorofi na ni wakarimu sana tena siyo wabahili/wachoyo kama wanaume wa kipare.

Mkuu sawa lakini amini wanacheza na timu nyingi viwanja tofauti.....niulize kaka
 
Hii mada nayo ni mchango kwa maendeleo ya Nchi yangu au ni maongez baada ya kukaa sana gizani umeme hakuna ?

Mkuu sometimes Inabidi Tufurahi kidogo kwa kusahau matatizo yetu.

Ndio hii serikali inahitaji kukosolewa sana, tena sana kwasababu Kuna mengi tunayahitaji hatajayapata kwa uzembe wa watendaji wakuu.

Inapendeza sana kwasasa pamoja na kuikosoa serikali na sisi Tuwajibike kwa Upande wetu.

Mfano M2 anaamka kitendani hata kitanda hawezi Tandika, anakuja huku nakuanza kulalamika Serikali haifanyi hili au Lile.

Mimi nafurahi sana Tunapoilalamikia Serikali Because we make them aware of our Problems, and They have to Act.

But we have also to be responsible the way we want our government to be Responsible.
 
Back
Top Bottom