Break Point..

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Jamaniii..nini kimetokea hapa!??????

Nimepita maeneo ya Break point ya posta naona kibao cha "Samahani kwa usumbufu" yaani wamefunga kabisa aisee..
Sasa mimi Ijumaa nitajiliwazzia wapi?
Jamani...patafunguliwa lini!??
 
TRA wanajua,japo nilisikia walikula hapo maafisa wa TRA wakaondoka bila kulipa kisa mmiliki hana receipts za kielectroniki
 
Service zao zilikuwa poor sana siku za hapo nyuma. chakula sio kizuri kama enzi zile. kama wamefunga poa tu,. wahudumu wenyewe hamna kujali wateja
 
TRA wanajua,japo nilisikia walikula hapo maafisa wa TRA wakaondoka bila kulipa kisa mmiliki hana receipts za kielectroniki

Na mimi nilivyopita hapo nimesikia watu wakisema hivyo!
Ati kuna mkubwa ana interest na hapo mahali so wanamzushia kesi flaniflani afunge wapachukue!
 
Jamaniii..nini kimetokea hapa!??????Nimepita maeneo ya Break point ya posta naona kibao cha "Samahani kwa usumbufu" yaani wamefunga kabisa aisee..Sasa mimi Ijumaa nitajiliwazzia wapi?Jamani...patafunguliwa lini!??
Mentor, si uende Kilimanjaro Hotel pako poa tu
 
Service zao zilikuwa poor sana siku za hapo nyuma. chakula sio kizuri kama enzi zile. kama wamefunga poa tu,. wahudumu wenyewe hamna kujali wateja

Jamani labda wewe tu mbona mi nlizipenda...wanavaa vizuri chakula cha moto (nyama, sijawahi kula hapo!)
 
Nipe directions kaka..

Hata nikija nitawajuaje...ama zile t-shirts zimeshatoka!??

Ukitoka Mwenge elekea Ubungo.....zunguka kiplefti cha kwenda savei halafu kama unarudi tena mwenge ukitumia service road mpaka ilipokuwa SILENT INN zamani.....muulize Milton atakuonyesha mamemba
 
Nipe directions kaka..

Hata nikija nitawajuaje...ama zile t-shirts zimeshatoka!??

Mimi nilikuwa nakwenda pale zamani! Nina muda sijaenda, ni kama unaelekea Mlimani City ukitokea kituo cha daladala cha mwenge, upande wa kulia kwenye service road, baada tu ya kuipita iliyokuwa Silent Inn mbele kidogo! Umepaelewa?
 
Kaka Gurumrti liko bomba sana sasa hivi......jana nilitoka saa 7
 
Back
Top Bottom