Nyoka akijivua gamba hageuki kuwa kenge

Kipis

JF-Expert Member
Jul 23, 2011
492
61
Sishangai sana kwa mh.jk kwa yale majibu aliyoyatoa alipokuwa akihojiwa na bbc.7bu huyohuyo mh.jk alishauambia uma wa watanzania kukatika umeme itakuwa historia baada ya mitambo ya richmond kuwasili pale airpot.imekuwa kawaida mh.rais wetu kwa kauli kama zile.sera ya kujivua gamba kwa ccm ni kama vile nyoka anapokuwa amepoteza nuru ya muonekano wake.so anapokuwa kwenye mazingira kama hayo,hana option nyingine. Ni kujivua gamba tu.but kufanya hivyo,hakumbadilishi kuwa kenge au mjusi. Bali anabaki kuwa snake.watz wenzangu tuwe macho na magamba ya ccm. Maana wao wapo katika kuirejesha nuru yao inayoonekana kutoweka machoni mwa wtz.wapo ki-kampeni zaidi kuelekea 2015
 
Back
Top Bottom