Siku moja Juan akiwa amebeba mchanga kwa baiskeli,alikamatwa mpakani mwa Mexico na askari wa kuzuia magendo.Wakamwuliza amebeba nini?akajibu;mchanga!.Askari wakaomba kuukagua mzigo,walipocheki...
Kipofu
aliingia restaurant moja ya mtaani. Kufika hapo
mhudumu ambaye ndiyo alikuwa mmiliki akafika
kumsikiliza huku akimpa menu asome... Jamaa ikabidi
amwambie kuwa yeye ni kipofu hivyo ili...
Mzungu mmoja alikuwa na mbwa wake aliyempa jina la kutosha, siku moja alipanda treni daraja la tatu huko kenya sasa alipokuwa ndani ya trena jamaa mmoja akapita na chipsi yai na mishikaki kwenye...
Mwendesha pikipiki mmoja alimgonga mwenda kwa miguu mmoja aliyekuwa kabeba mfuko wa rambo.Baada ya kufunga breki,mwendesha pikipiki aliangalia nyuma akamwona yule aliyemgonga kalala chini halafu...
Moya ni houseboy mweny tabia ya kuiba wine ya boss
wake na ksha anaongeza maj..baada ya boss kugundua
mchezo anaochezewa aliamua kutega mtego wa kufa
m2. Akanunua wine ambayo inabadilika rang...
Dogo mmoja tangu alipozaliwa hadi umri wa miaka mitano hakuwa anaweza kusema.
Siku aliyoanza kusema, alitamka neno moja tu, "Bibi".
Siku ile ile, bibi yake akafariki. Sku ya pili akatamka...
Jamani wana jf watanzania tumeongezeka pia naomba usafiri wa majini uongezeke ili kupunguza ajali kama hizi juzix2 mv bukoba and now the same problem, same cause. HUU UMASKINI JAMANI.MUNGU...
Kumbe hapo mwanzo watu wote tulikuwa weusi, ila katika ujio wa Mwenyezi mungu alipendezwa watu wote tuwe weupe sasa akaanza mchakato wakutubadilisha watu wa mataifa mbalimbali wakiwemo wazungu...
Huwa nawaonea huruma wanafunzi wa vyuo wanaofanya mafunzo kwa vitendo kwenye maofisi yetu!
Wakike sasa ndo wanakoma (kutongozwa), midume kutumwa kama ni vibaraka.
jamaa mmoja aliibiwa Poch na buku ten Akaamua kuwakomoa wezi ↲
Jama akawambia wezi oya poa ka mmepanga niibia milion kumbe ni buku ten↲
Wezi katika kugawana mmoja akasema we jamaa...
Wapendwa
ndoa ya rafiki na jirani yangu iko hati hati ya kuvunjika, kisa jamaa katafuta mke mdogo (ofcourse anasema dini yake inamruhusu). Niliwahi kumwonya mke hakunisikia...kisa jamaa...
wanawapa wanaogombea umiss Tanzania maswali magumu hivyo jamani....no wonder wadada wa watu wameambulia patupu......wangeuliza kama bendera ya tanzania ina rangi ngapi zinapresent nini?LOL
Harusi ya kukata kwa shoka inafanyika leo Mwanza katika uwanja wa CCM kirumba.Waalikwa zaidi ya 2500 ama zaidi wanataraji kuudhulia,kwaufupu inasemekana itakuwa na-wageni kutoka KenyaUganda,DRC...
Bosi alimuaga mlinzi wake kuwa kesho yake jioni anasafiri kuenda SA.
Usiku ule mlinzi akaota kunatokea ajali ya ndege ambayo bosi angesafiri.
Asubuhi yake akamjulisha bosi kuhusu ndoto yake ya...
wakuu mimi ninapenda sana kusikiliza radio,nafikiri umefika wakati tuwapongeze watangazaji wa vipindi mbalimbali wanaojituma kufanya kazi zao kwa bidii na uhakika.
Mimi napenda sana wafuatao...
an arab was being interviewed at a US checkpoint...Name plz. "abdul aziz"
sex? "six times a week!!!" no, no I mean male or female!."doesn't matter, sometimes even camel!"
Doctor to his lady patient, "You look terribly weak
and exhausted! Are you having your meals three times
a day as I have advised?"
Lady replied, "Doctor, I thought you said three
males a day."