ulevi noma

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,322
1,094
MLEVI mmja
alioa mke. Mkewe alikuwa haja2lia hata kidogo.siku
moja mkewe akiwa anajivinjari na msela,MLEVI akarud
hom. mkew akamwambia yule msela usiondoke,lala
hvo hvo huyo mlev hatagundua..bac mlev akapanda
kitandan wote watatu wakalala..baad ya mda kdg mlevi
akahesab miguu na kuona ipo sita,akamshtua
mkewe,"mke wangu,mbona miguu ipo sita??"....mkewe
akamjib kwa ukal,.toka hapa na pombe zako,miguu sita
itoke wap heb shuka kitandan uhesab vizuri..mlev
akashuka,akawasha
taa,akahesab..MOJA..MBILI..TATU..NNE....ANHAA KUMBE
KWELI NILIKOSEA KUHESABU,SAMAHAN MKE WANGU
 

Jeji

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,975
367
mkuu mbavu zangu kidogo zivunjike.
ulevi nooma!!!!!!!!!
 

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,360
Kali hii nisawa na ile ya farasi jamaa alikua akichunga farasi 10 baada ya muda jamaa akaamua kumpanda mmoja wakati wakati akiwa kwenye kuchunga alipohesabu akakuta wapo 9 ikabidi amtafute huyo m1 kaenda wapi bila mafanikio jamaa akaamua kushuka nakupumzika chini ya mti kuwahesabu tena kawakuta 10, wakat anaanza safar yakurudi hom akampanda m1 kuwahesabu kakuta 9 akahisi kuna mtu anamchezea kumbe alikua hamwesabu yule aliyempanda
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom