Jamani wana jf watanzania tumeongezeka pia naomba usafiri wa majini uongezeke ili kupunguza ajali kama hizi juzix2 mv bukoba and now the same problem, same cause. HUU UMASKINI JAMANI.MUNGU ATUSAIDIE AMIN.