Wikiendi Dodoma

Wikiendi Dodoma

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
3,831
Reaction score
1,173
Maeneo ninayoyajua kwa sasa ni Chako-Ni-Chako bar, Younique Pub, Rose Garden Bar.

Saba-Saba si huwa wanauza mitumba au unamaanisha Mnadani?

shit,kumbe upo dom ndo mana akili zako mbovu kama matonya aka ombaomba km jk...

iko karibu na booking office za kampuni ya hood

Mkuu umechelewa kumjibu. Maana kuna thread humu inasema huyu jamaa kapigwa ban. Nadhan atasoma tu ila hataweza kuuliza lingine!

Naona umeenda makao makuu kupata malipo kwa kazi "nzuri" hapa jf. Bahati nzuri tu umepigwa ban!

Back
Top Bottom