Kumbe kiburi chetu waafrika ndio sababu ya kuwa weusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe kiburi chetu waafrika ndio sababu ya kuwa weusi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kibirizi, Sep 8, 2011.

1. Kibirizi

Kibirizi JF-Expert Member

#1
Sep 8, 2011
Joined: Feb 19, 2011
Messages: 602
Likes Received: 9
Trophy Points: 35
Kumbe hapo mwanzo watu wote tulikuwa weusi, ila katika ujio wa Mwenyezi mungu alipendezwa watu wote tuwe weupe sasa akaanza mchakato wakutubadilisha watu wa mataifa mbalimbali wakiwemo wazungu, waarabu wahindi, wajerumani n.k lakini wote tukiwa weusi. Basi Mungu alitengeneza bwawa moja kubwa sana, akwaita watu wa matifa yote na kuwaeleza kwamba ukiongelea kwenye bwawa lile utabadilika na kuwa mweupe, zoezi likaanza akatangulia mzungu kuogelea na akawa mweupe, akafuata mwarabu naye akawa mweupe na wakafuata wengine. Mwafrika akawa mbishi ana kiburi kwende kila inapofika zamu yake basi wakawa wanaenda watu wa mataifa mengine kumbe yale maji ya kwenye bwawa lile yalikuwa yanakauka kadri muda unavyozidi kwenda, basi mwafrika kuja kuzinduka na kuacha kiburi maji yapo kidogo sana, basi ikabidi aenda kuweka nyayo za miguu pamoja na viganja vya mkono ndio maana mpaka leo maeneo hayo ni meupe. tehe tehe kwikwi!

2. M

MAKAKI Senior Member

#2
Sep 8, 2011
Joined: Sep 2, 2011
Messages: 166
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
umetsha bwana

3. MAMMAMIA

MAMMAMIA JF-Expert Member

#3
Sep 9, 2011
Joined: Feb 26, 2008
Messages: 3,822
Likes Received: 23
Trophy Points: 0
Tehe tehe tehe!
Hapo nyekundu nimependa zaidi.
Ah, ulisahau, aliingiza kwnye maji nyayo, viganja na meno.

4. K

Kitalolo-mae Member

#4
Sep 9, 2011
Joined: Jul 23, 2011
Messages: 12
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Acha kutunga hekaya za kukejeli waafrika wenzako,kuwa mweupe sio tija-chamsing ni ubinadamu na utu

5. Babkey

Babkey JF-Expert Member

#5
Sep 9, 2011
Joined: Dec 10, 2010
Messages: 4,256
Likes Received: 2,079
Trophy Points: 280
tehe! TEHE! tehe!
Bora sisi warangi!

6. Criss

Criss JF-Expert Member

#6
Sep 9, 2011
Joined: Mar 19, 2011
Messages: 825
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Teheteheteheeeeee

7. Rosweeter

Rosweeter JF-Expert Member

#7
Sep 9, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 1,136
Likes Received: 3,890
Trophy Points: 280
Ndiyo maana ukaitwa Jokes/utani, wa wapi wewe?
Tehe tehe teheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.........

8. NG'ADA

NG'ADA Senior Member

#8
Sep 9, 2011
Joined: Sep 2, 2011
Messages: 153
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
aaah kaka meno na viganja vinaendana kweli...aint true...

9. m

mr solar New Member

#9
Sep 9, 2011
Joined: Sep 4, 2011
Messages: 3
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Bt utani wa kweli c mzuri jmn!

10. T

Tasia I JF-Expert Member

#10
Sep 9, 2011
Joined: Apr 21, 2010
Messages: 1,226
Likes Received: 4
Trophy Points: 135
we mshamba nini!
kwani kua mweupe ndo nini?
hawanaga hata mvuto.kitu hii rangi bwana.black.

11. Gugwe

Gugwe Senior Member

#11
Sep 9, 2011
Joined: Jul 25, 2011
Messages: 126
Likes Received: 9
Trophy Points: 35

We nani kakuambia warangi ni weupe,nyie ni wanjano bwana...teh!teh teh

12. Alexism

Alexism JF-Expert Member

#12
Sep 9, 2011
Joined: Aug 14, 2011
Messages: 2,443
Likes Received: 1,015
Trophy Points: 280
Ninapita teh teh

13. afrodenzi

afrodenzi Platinum Member

#13
Sep 9, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 18,135
Likes Received: 2,398
Trophy Points: 280
Afadhali hata hakuenda kwenye hilo bwawa
Napenda rangi yangu..

14. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#14
Sep 9, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
huh................blak z beauty

15. T

Theresah Member

#15
Sep 10, 2011
Joined: Sep 7, 2011
Messages: 6
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Bora hata tulikua wabishi maana inaelekea tungekua weusi zaidi kama tungeogelea maji yaliyoogelewa na hizo pipo zote aisee!

16. Babkey

Babkey JF-Expert Member

#16
Sep 10, 2011
Joined: Dec 10, 2010
Messages: 4,256
Likes Received: 2,079
Trophy Points: 280

tehe tehe tehe!
Wanatuambiaga sie weupe bana japo ni tata kuwa mweupe!

17. KakaKiiza

KakaKiiza JF-Expert Member

#17
Sep 10, 2011
Joined: Feb 16, 2010
Messages: 10,541
Likes Received: 2,239
Trophy Points: 280
Nimecheka sana kumbe nawarangi wanajiita weupe!

18. G_crisis

G_crisis JF-Expert Member

#18
Sep 10, 2011
Joined: Jun 19, 2011
Messages: 715
Likes Received: 62
Trophy Points: 45
Umetisha mzazi!

19. Ze burner

Ze burner JF-Expert Member

#19
Sep 10, 2011
Joined: Jan 5, 2011
Messages: 460
Likes Received: 2
Trophy Points: 33
utata mtupu!1!1

20. chapaa

chapaa JF-Expert Member

#20
Sep 11, 2011
Joined: Feb 19, 2008
Messages: 2,355
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Its funny anyway

Loading...