Watangazaji maarufu wa radio zetu

Watangazaji maarufu wa radio zetu

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
wakuu mimi ninapenda sana kusikiliza radio,nafikiri umefika wakati tuwapongeze watangazaji wa vipindi mbalimbali wanaojituma kufanya kazi zao kwa bidii na uhakika.

Mimi napenda sana wafuatao:
Juma Baragaza - Radio Free Africa
Mbazigwa Hassan - TBC
 
Nitawapanga kulingana na ninavyowapenda.
1.Fred Fidelis
2.Juma Baragaza
3.Mbazigwa Hassan
.
.
.
.
.
.
903. Ephraim Kibonde(Clouds FM)
.
905.Mbakamu kuzidu(Tikilu radio)
 
Pendaeli Omary
Yule kijana wa TBC anatangaza michezo- ana jina la Kinyachusa ( limenitoka)
 
Jacob Tesha, Sarah Dimba, Ahmed Jongo, Kipozi, Tido Mhando, J. Nyaisanga, Taji Liundi.
Kwa hawa tulionao sasa ................wanajitahidi ila nawasikiliza tu.
 
QUOTE=Katavi;2421351]Enock Bwigane...[/QUOTE]

Asante Katavi- huyo kijana ni mzuri sana.
 
mimi nasimama kidete kwa ajili ya zembwela,john karani,sebbo,irene tillya,glorry robinson,adam mchomvu,ephraim kibonde,millard ayo bila kumsahau fred waa
 
mimi nasimama kidete kwa ajili ya zembwela,john karani,sebbo,irene tillya,glorry robinson,adam mchomvu,ephraim kibonde,millard ayo bila kumsahau fred waa

usisahau milady ayo alikosea mahesabu kuondoa radio one
 
Nitawapanga kulingana na ninavyowapenda.
1.Fred Fidelis
2.Juma Baragaza
3.Mbazigwa Hassan
.
.
.
.
.
.
903. Ephraim Kibonde(Clouds FM)
.
905.Mbakamu kuzidu(Tikilu radio)

mkuu imekuwaje kumweka kibonde mbali hivyo??du!
 
KIBONDE , B dozen ... B 12! , Gea habid,
 
Gerald hando the kichwaaaaaaaaaa!!!suala sio utangazaji tu...na uwezo pia kiakili,kifikra,kimtazano...na kujiachia pia!!
 
Back
Top Bottom