Komesha wezi

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
827
244
jamaa mmoja aliibiwa Poch na buku ten Akaamua kuwakomoa wezi ↲
Jama akawambia wezi oya poa ka mmepanga niibia milion kumbe ni buku ten↲
Wezi katika kugawana mmoja akasema we jamaa kasema 2meiba Milion we unaleta buku ten umentapeli↲
Jamaa wakapigana mpaka mpaka wakauana
 

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,436
1,020
Jokes nyingi ni za kutunga but what matters ni iwe na logic ndani yake.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom