high sense of smell

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,459
1,832
Kipofu
aliingia restaurant moja ya mtaani. Kufika hapo
mhudumu ambaye ndiyo alikuwa mmiliki akafika
kumsikiliza huku akimpa menu asome... Jamaa ikabidi
amwambie kuwa yeye ni kipofu hivyo ili ajue atakula
nini angefulahi sana kama andemletea kijiko
kilichotumia na mtu yoyote wa mwisho kulia... Mwenye
hoteli akaenda jikoni na kumletea jamaa kijiko kichafu
kama alivyoomba... Kumpa tu jamaa akakinusa then
akamwambia, "Ooooh yeeeah, hiki ndo ntakula...
naomba niletee wali, nyama ya kuku, maharage kidogo
na kachumbali kama alivyokula huyu aliyetumia kijiko
hiki...." Jamaa mwenye hoteli akabaki hoi kaduwaa bila
kuamini kwani yeye ndo alikuwa kakitumia na kweli
alikula hivyo. Akaenda ndani na kumwambia mpishi
ambaye ni mke wake aandae hivyo baada ya hapo
akampelekea jamaa huku bado akiwaza jamaa
amenusaje na kuhisi kweli...
Baada ya siku nyingi, yule kipofu akaenda tena kwenye
restaurant ile. Kwa bahati mbaya yule mwenye hoteli
akawa amemsahau kabisa. Akamletea tena menu...
Jamaa akamuuliza... "Vipi ndugu yangu?? Umenisahau
tayari?? Mimi ni yule kipofu..." Basi yule mwenye
restaurant akamjibu, "Oooh, samahani, ngoja
nkakuletee kijiko.." Kufika jikoni akamwambia mkewe,
yule jamaa kaja tena, ngoja leo tumpime tuone kama
anajua harufu kweli au alituzingua tu. Akachukua
kijiko, akakiosha fresh na sabuni, akamwambia mkewe
ajisugue nacho sehemu zake za siri mbele na nyuma ili
akamkomoe...
Basi jamaa akampelekea kile kijiko... Kama kawaida
yule kipofu akakinusa na baada ya kukinusa tu kwa
mshangao akauliza... "Hee?? Sikujua bwana, kumbe
Maria anafanya kazi hapa??!"
Jamaa akabaki hoi kaduwaa coz ndo jina la mkewe(yule
mpishi).... lol
 
nice joke. ngoja niwaboe kiduchu na sayansi.mwili una viungo ambavyo vinategemeana.ikitokea kiungo kimoja kinakuwa hakifanyi kazi yake, basi viungo vingine vitaendelea ku-develop ili kujaribu kufunika udhaifu uliopo.vipofu wanakuwa na high sense of smell and hearing.wakati mwingine sense of touch.mfano kwa kushika tu fabric yanguo zake,anajua hii ni ile nyekundu.God is truly amazing
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom