hahahahhahahaa kwa nini????

hahahahhahahaa kwa nini????

Jestina

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,828
Reaction score
1,716
wanawapa wanaogombea umiss Tanzania maswali magumu hivyo jamani....no wonder wadada wa watu wameambulia patupu......wangeuliza kama bendera ya tanzania ina rangi ngapi zinapresent nini?LOL
 
kwakweli wengine wamepewa maswali ya kawaida 2 nawanaenda off track...................kweli kazi yao ni umiss
 
Wao hawajui akili inamatter ktk umiss!
 
unaonaje kama wangeulizwa maswali kama vle;"unawezaje kumuweka tembo kwenye friji?"
 
kwakweli wengine wamepewa maswali ya kawaida 2 nawanaenda off track...................kweli kazi yao ni umiss

mikataba labda kwako ndio kawaida,yale maswali hata mie ningechemsha mambo ya vita vya wenyewe mie nitayajulia wapi lol
 
mi bado naomboleza msiba wa taifa uliotokea pemba

kwa mambo ya umiss mkuu vipi huyo salha israel ni miss wa wapi..
 
Vichwa nazi. Hawana kitu, wanawaza kuonyesha maungo yao mbele ya kadamnas. Upuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom