Mzungu na dogii wake kipenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzungu na dogii wake kipenzi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mocrana, Sep 10, 2011.

 1. M

  Mocrana JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 532
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mzungu mmoja alikuwa na mbwa wake aliyempa jina la kutosha, siku moja alipanda treni daraja la tatu huko kenya sasa alipokuwa ndani ya trena jamaa mmoja akapita na chipsi yai na mishikaki kwenye mfuko, kutosha akasikia harufu ya msosi akachoropoka kutoka kwa mzungu na kufuata harufu, mzungu kustuka akawa hamuoni mbwa wake akaanza kumtafuta kutosha huku anawauliza watu, bahati mbaya sn mzungu suruali yake ilikuwa kumbe imechanika kwa nyuma na hakuwa amevaa chupi, sasa akawa anainama huku anawauliza wa have you seen kutosha? Watu wakawa wanajibu Noo, mzungu anaendelea kuinama na kumtafuta, anauliza tena have you seen kutosha?
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  inshort hujaeleweka hbu kajipange af urudi tena.......................SIJACHEKA.
   
 3. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Not funny at all!!!!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,136
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Hahahahhahahahahha hahhahahaha....... Je umeangalia wowowow kiasicha kutosha?
   
 5. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Absolute, inakuwa vp kama ndo mnasafiri na ma mkwe
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Haijaeleweka kajipange
   
 7. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Amekuwa tofali?
   
Loading...